Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni...
12 Reactions
76 Replies
7K Views
Mwanaume mwenzetu, sitomtaja jina alioa mwanamke mzuri sana, na kwa upendo wa Mungu na upendo wao binafsi wamedumu kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa. Katika hii miaka mitano wamepata watoto...
104 Reactions
100 Replies
16K Views
Mwanamke mmoja anayetokea katika jimbo la Mpumalanga nchini Afrika Kusini amepewa talaka na mumewe siku ya fungate (honeymoon day) baada ya mume kuona sura ya mkewe kwa mara ya kwanza bila...
15 Reactions
53 Replies
12K Views
Salaam, Kuna kitu nmesikia watu wakijisifia kwamba wanawake wa Tanga ndo mapenzi yalipozaliwa. Ila ila baada ya utafiti wangu wa kina, nimegundua Wanawake wa Zanzibar hasa Kisiwa cha Pemba wapo...
4 Reactions
51 Replies
16K Views
Kama ni challenge mmeamua kuifanya tuwekeni wazi maana sio kwa Hali hii. Wanawake nyie ni mama zatu ,Dada zetu , watoto wetu mmekutwa na Nini.....? Ni uhaba wa wanaume au ni Nini .....? Au...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wana wa humu. Katika mahusiano mengi niliyopitia kuna kitu nimejifunza. Nataka kushare ili nijue kama nawe umeshawahi kuexperience hicho kitu. Ipo hivi unakuwa na relationship na...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni? Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar za muda huu wana JF. Kuna mambo kwenye maisha yanatokea yanatatiza kwa namna fulani mpaka unashindwa kuelewa usimame au ukae. Iko hivi, kuna mama yetu mdogo alietulea baada ya mama yetu...
27 Reactions
108 Replies
10K Views
Kichwa cha habari cha husika, Mpenzi wangu ni muislam na mimi ni mkristo sisi tuko tayari kufunga ndoa lakini ndugu zake wamekataa katakata wanasema niwe muislam nami siko tayari kwa hilo...
5 Reactions
288 Replies
48K Views
Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
ZAMA hizi ni za kusaidiana kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume wa kukuoa akiwa na kila kitu bila wewe kuvuja jasho au kushiriki, utasubiri sana...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama baba unatamani kuwa na mtoto bora kuliko baba wote duniani. Mtoto ambae kila linapozungumzwa jambo zuri basi yeye ndio awe amelifanya. Habari za ‘mabangi’, vigodoro, mapepe, kutatarika na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kabla ya dunia kufika mwisho vitatokea vitu vingi sana, lakini kamwe haitatokea mwanaume kushinda mabishano ya kihisia dhidi ya mwanamke; yaani yale mabishano ya kitoto yanayofanywa na watu wazima...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu amefikisha mwezi tangu alipotoka kujifungua. Je, naweza kushiriki nae tendo la ndoa(Kummenya, kumtindua)? NB: Amejifungua salama bila shida yeyote
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Tongoza..honga..peleka geto/ gest..nyegesha..tereza..toa wazungu eti ndio habari imeishia hapo. Kimsingi hakunaga faida ya sex zaidi ya uzao..hizo zingine ni mbwembwe za nyegezi tu na kujitafutia...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nina mke nimezaa nae watoto watatu Tangu tumeanza mahusiano hadi Leo tunaishi mbalimbali hii ni kutokana na masuala ya kikazi, ingawa Hatuko mikoa ya mbalimbali, mara moja moja naenda kumcheck...
70 Reactions
215 Replies
17K Views
Hamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote Kina chapters 33 sawa na the highest degree of freemasonry ( I’m not a devil worshipper my self but if Lucifer...
1 Reactions
7 Replies
605 Views
Unaweza rudiana na mpenzi wako wa zamani? Mlikua kwenye mahusiano mkaachana, mkawa marafiki kwenye shida na raha mpo pamoja mkitendwa na wapenzi wenu mnaelezeana matatizo yenu mnapeana moyo...
9 Reactions
199 Replies
23K Views
Igweeeeeeee Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi. Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom