Dini na tamadunk za wapi?..mana afrika hatuna hizo siku 40.Kidini, na kiutamaduni ni siku 40 za kupumzika hiyo chakula. Msikilize yeye anajisikiaje na mwili wake, sex kwa mwanamke ina mambo mengi pamoja na utulivu wa kichwa na kujiamini.
Hongera kwa kachanga. Angalia usije ukafanya voda fasta, ngosha alizikwa na elimu bite.
Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
Mpak leo hii nimevumilia sana mkuuKwa kawaida na kitaalamu huwa ni siku 42, means mwezi mmoja na nusu post delivery, na huwa iko estimated hivo kwa mategemeo kuwa ndani ya muda huo zile damu za baada ya kujifungua wanaita LOCHIA zitakua zimeshakata (acha) kutoka
Lakinj kuna wanawake wengine hiyo LOCHIA huwa inakata baada hata ya wiki 2, so wako inategemea, kama ameshakata hizo damu unaweza kushiriki naye tu bila shida,
ilkuaje mkuu utamu unakwepo kwepo kweli au inakuwa pwaa pwaaMimi alivofikisha ile siku ya 40 siku hiyo hiyo nikamchakata ye mwenyew zilikuwa zimemjaa.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Voda fasta hapana mkuuKidini, na kiutamaduni ni siku 40 za kupumzika hiyo chakula. Msikilize yeye anajisikiaje na mwili wake, sex kwa mwanamke ina mambo mengi pamoja na utulivu wa kichwa na kujiamini.
Hongera kwa kachanga. Angalia usije ukafanya voda fasta, ngosha alizikwa na elimu bite.
Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu.Mke wangu amefikisha mwezi tangu alipotoka kujifungua,
Je? Naweza kushiriki nae tendo la ndio(Kummenya, kumtindua)
Nb
Amejifungua salama bila shida yeyote
King'asiti kwema mama?Kidini, na kiutamaduni ni siku 40 za kupumzika hiyo chakula. Msikilize yeye anajisikiaje na mwili wake, sex kwa mwanamke ina mambo mengi pamoja na utulivu wa kichwa na kujiamini.
Hongera kwa kachanga. Angalia usije ukafanya voda fasta, ngosha alizikwa na elimu bite.
Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
Aaha naomba vyeti vya taaluma yako ya ushauri wa kisayansi mkuuHongera sana mkuu.
Awali ya yote naomba nikushauri kwamba kabla ya kushiriki nae katika hilo tendo naomba nikaonane nae nimpe ushauri wa kisayansi kuhusiana na hilo tendo unalotegemea kulifanya kwake ili nimuweke sana mkuu.
Tafadhali ili tuweze kufanikisha hilo jambo kwa haraka zaidi na weledi usisahau kunitumia namba yake mkuu.