Kwa mda wa wiki kama 2 hivi hali yangu kiafya sio nzuri kutokana na huu upepo wa mafua makali, homa na kikohozi. Hapa nilipo bado nabanja kama trekta mbovu na kwa mbali kifua kama kinabana hivi...
Wakuu salama? Leo naona hali ya hewa kama imechafuka ghafla baada ya huyu dada kunambia habari za pisi yangu aka mchepuko.
Leo tulikua wote akaniuliza kwa utani “sarah” ni nan kwako nikamwambia...
Hizi ni kwanini asilimia 95.5% ya wanawake waliobarikiwa kuwa na chura ya haja ambazo sio hizi feki za kichina sura zao hazina ushirikiano!?
Yaani zigo kama zigo ila sura sasa kazi kazi no...
Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now...
Hakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method)
Habari zenu wapendwa
Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga...
Wakuu pole na majukumu...
Kama mada inavyosema hapo " hamna mwanaume mwenye kibamia"
Baada ya kuona hii trend ya dada zetu kujiingizia vitu huko sehemu zao vitu kama chupa za soda wengine chupa...
Jambo ndugu zangu
Leo nimekuja na mada mpya na itaji ushauri kutoka kwenu
Kuna mwanamke ambaye tunapendana naye
Na tunapanga kufunga pingu za maisha in the future
Sasa mimi kuna jambo ambalo...
Umri wangu miaka 32 mdada mwenye sifa zifuatazo anaitajika.
1.awe anapenda ugomvi
2.awe anatumia castle lite ata bingwa sio mbaya
3.awe na mtoto wasizidi 2
4.umri wake usizid miaka 34
5.awe...
Kuhusu Mimi,
Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg
Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo...
Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi?
Na je vipi kuhusu mwaka 2022...
Habarini za miida hii wana MMU tukiwa tunaelekea kuukata mwaka nami nimeona niwaeleze machache ninayoyafahamu
Bila ya kupoteza mda twende kwenye mada huska kutokana na ndoa nyingi za sasa hivi...
So you always have to make sure to practice good habits in your relationship day-in and day-out. You don’t want to end up losing a perfectly good love just because of your recklessness, do you...
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili...
Wakuu habari za wakati huu.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla...
Wakuu,
Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi.
Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa...
Ukianza kuona kila mhudumu ni mzuri, ni dalili kwamba umeshalewa vya kutosha, nenda nyumbani kwa mkeo, ukalale. Kauli hii inazalisha moja ya swali muhimu sana ambalo labda linaweza kuwafaa walevi...
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....
Mko kwenye ndoa zenu.......
Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............
Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mlio kwenye ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.