Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

USALITI ni kitu kibaya sana ambacho kimsingi hudhoofisha kama sio kuharibu kabisa uhusiano, vilevile hupoteza mali na muda wa mtu. Kibaya zaidi usaliti unaweza kusababisha ulemavu au Vifo...
4 Reactions
7 Replies
7K Views
Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua! Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba...
40 Reactions
110 Replies
8K Views
Habari za mchana wadau... Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele 🙏. Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya...
14 Reactions
70 Replies
4K Views
Natafuta rafiki Sifa:awe mwanamke, umri 18-99 Awe muislamu Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu Asiwe mrefu wala. Mfupi Kabila: Lolote...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Nikiongelea hii fact kwamba "BIA INA LADHA SAWA NA UKE" Namaanisha ina ile ladha halisi (pH level) ambayo unahisi unapoionjafundo la bia kwa ncha ya ulimi wako. Kama...
14 Reactions
93 Replies
8K Views
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu...
22 Reactions
101 Replies
10K Views
Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye...
18 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana siku hizi ndoa imekuwa sio kitu cha mvuto sana sababu wazazi wa muolewa wanafanya mtaji binti yao utakuta anaenda kuposa sehem mahari anayotozwa ukitoa atachopewa bi harusi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu ....! Hope wote tu wazima na tunafanya vyema katika tasnia ya afya. Kama ilivyo ada wote siku ya xmass tuliburudika tukiwa majumbani na wengine viwanjani Mimi ni raia ambaye...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo...
10 Reactions
122 Replies
18K Views
Ndugu zangu wanajamvi habari za asubuhi. Nimekuja hapa kuandika uzi huu nikiomba ushauri nikihitaji faraja kutoka kwenu. Mimi ni kijana miaka 25, mwenzangu huyu 21, nimemaliza chuo miaka miwili...
4 Reactions
141 Replies
18K Views
Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya...
15 Reactions
110 Replies
15K Views
Mabibi na Mabwana wa JF.... Kasinde na Mahabibi wake (Da.....) tunawatakia siku ya ufunguaji maboksi mwema. Yetu tushafungua tukiwa na pajama (Usiulize maswali, sina majibu) sasa twaenda...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya familia yangu kupokea taarifa kupitia mshenga kijana wao kupangiwa kiwango cha juu cha mahali hatimaye wazazi wamegoma na wameniambia niachane na hiyo familia wataniumiza kichwa na huko...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba...
11 Reactions
65 Replies
9K Views
Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia...
11 Reactions
64 Replies
7K Views
Ni matumaini yangu nyie ni wazima wa afya, ni juzi tu nimejiingiza katika mahusiano na msichana mmoja hivi yapata miezi miwili lakini oversuddenly juzi tumekutana kanitamkia eti tuachane...
4 Reactions
104 Replies
12K Views
Ebhanaa eeee jana mtoto kaniblock kuanzia saa 10 jioni mpka saa tatu usiku......eti aliogopa yupo kwenye makelele hivo ningempigia tusingeelewanaaa...
35 Reactions
58 Replies
5K Views
If you’re looking for the perfect ice-breaker to start a conversation with your crush, then look no further. I’ve personally selected the following 100 questions for you to ask your crush. The...
4 Reactions
7 Replies
10K Views
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje. Sina mengi ila...
21 Reactions
151 Replies
10K Views
Back
Top Bottom