In Love as in war

In Love as in war

elishaezekiel

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
563
Reaction score
1,474
Hamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote
Kina chapters 33 sawa na the highest degree of freemasonry ( I’m not a devil worshipper my self but if Lucifer himself writes a book I would read it).

Hapa utayatazama maisha kupitia lens ya Military Generals... viongozi wengi katika historia namna walivyokuwa wanafikiri
Suntzu, Napoleon,Mabeyo, Mwamunyange na wengine wengi

Kanuni zavita ni kanuni za maisha na ni kanuni za mapenzi pia

IMG_8937.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2060845
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitabu kinaitwaje?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hakuna review yako? Show what is inside, in a nutshell. At least elezea utamu wa tunda.
 
Hamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote
Kina chapters 33 sawa na the highest degree of freemasonry ( I’m not a devil worshipper my self but if Lucifer himself writes a book I would read it).

Hapa utayatazama maisha kupitia lens ya Military Generals... viongozi wengi katika historia namna walivyokuwa wanafikiri
Suntzu, Napoleon,Mabeyo, Mwamunyange na wengine wengi

Kanuni zavita ni kanuni za maisha na ni kanuni za mapenzi pia

View attachment 2060845
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umekisoma kweli au ndo povu la soda linakaa sekunde mbili ? Funguka kidogo watu wapate hamasa na kitabu hicho
 
Nashauri iko kitabu kitengenezee movie...
Wabongo ma vitabu [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom