Mwanzoni nilijua Mapenzi ya dhati... Kumbe...

Mwanzoni nilijua Mapenzi ya dhati... Kumbe...

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,266
Habari wana wa humu.

Katika mahusiano mengi niliyopitia kuna kitu nimejifunza. Nataka kushare ili nijue kama nawe umeshawahi kuexperience hicho kitu.

Ipo hivi unakuwa na relationship na Mwanamke, anachofanya ni kuweka wivu juu yako kiasi Kwamba hataki kuona unawasiliana na jinsia ya kike yeyote.

Sometime hata ndugu yako kama hamjui basi atakuwekea mashaka. Mwanzoni nilijua duh haya ni mapenzi ya dhati. Lakini mbeleni nimegundua hii ni technique ya kuteka ufahamu wako, ili aweze kukucontrol.

Anachofanya ni kuhakikisha anacontrol mind yako. Endapo atafanikiwa kukutenga na watu anaowaonea wivu basi atakuwa yupo safe na penzi lake. Yeye Mwanamke anachotaka yeye awe na relationship na wanaume wengine lkn wewe husiwe nao.

Yeye anaamini Sisi tupo weak kwenye relationship. Hivyo anaamini akikupa mpenyo kidogo tu basi mapenzi kwake yataisha. Mwanamke haamini kama Mwanaume anaweza kustahimili many relationship lkn yeye Mwanamke anajiamini anauwezo wa kustahimili many relationship. Vice verse is true.. je wewe umejifunza nini?
 
Hata mimi nimetoka kapa. Na sijaelewa uhusiano wa heading na yaliyomo.

Ninachojua tu ni kwamba siku hizi hakuna mapenzi ya kweli...ni kutumia akili sana vinginevyo ukiingia kichwa kichwa utaishia kulia na kusaga meno!
Inshort je wewe mtu wako anakuonea wivu? Huo wivu unaamini anakupenda au anacheza na akili yako?
 
Mleta thread hizo sio tabia za wanawake tu, hizo ni tabia za watu ambao ni "controlling na manipulators", Mtu huyo anawezakuwa au ni mwenza,mzazi,rafiki,Boss,ndugu au kiongozi wako n,k.

Kuna watu wana hizo tabia na wanajua wanachofanya na wanalenga kupata matokeo/faida fulani, na kuna wengine wanafanya out of love na anajikuta ameshakuwa "controlling". Kuhusu manipulators, hata mtoto wako mdogo anaweza kuwa manipulator.
 
Siku namzika mama mwaka juzi nililia sana sababu nilijua kuwa mapenzi ya dhati ndiyo nilikuwa nayazika sasa. Zilizobaki ni mbwembwe tu.

Vipi Krismasi ilikuwaje? Nakutakia mwaka mpya mwema wewe na furushi lako; na wapendwa wengine [emoji1545]
Daah! Pole sana.

Mapenzi ya dhati bado yapo sana tu.

Asante sana, krismasi imepita hata habari sina eti[emoji2297][emoji2297]
Mwaka ukawe mwema na kwako pia.
 
Mleta thread hizo sio tabia za wanawake tu, hizo ni tabia za watu ambao ni "controlling na manipulators", Mtu huyo anawezakuwa au ni mwenza,mzazi,rafiki,Boss,ndugu au kiongozi wako n,k.

Kuna watu wana hizo tabia na wanajua wanachofanya na wanalenga kupata matokeo/faida fulani, na kuna wengine wanafanya out of love na anajikuta ameshakuwa "controlling". Kuhusu manipulators, hata mtoto wako mdogo anaweza kuwa manipulator.
Kuna mmoja huyo wivu wake ulikua ni wakupitiliza, ilifikia wakati hataki hata mashine isogeleane na korodani lazima azitenganishe, yaani wivu wake mpk kwenye korodani anaziona zinafaidi saaaana zikikaa karibu na mashine.
Ila daaaah yule binti alikua ananipenda mpk naskia kero.
 
Back
Top Bottom