Habari.
Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.
Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari...
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu...
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari...
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama...
Heri ya mwaka mpya in advance..
Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku.
Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen...
Hii ni baada ya kuwa binti amenijua kwa siku kama tano hivi...
Akawa amejua mimi nimesomea mambo haya ya afya, akanikuta ofisini kwa Mzee..
Muda huo nilikua najiandaa kwenda zangu internship...
Wakuu habari na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa.
Natafuta mchumba wa kike
Umri miaka 24 kushuka chini
Elimu-kidato cha 4 na kuendelea
Mimi binafsi
kijana wa umri miaka 27
Ajira...
Jamani eeh..Hivi hawa wanawake wa Kimasai waliopo huku mijini wanachepuka?
Kama wanachepuka vipi wakiwa ulingoni ubora wao upoje?
Naamini kwa ukubwa wa JF,wapo watu walisha pata uzoefu wa...
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya...
Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram.
Wengi wao huwa wanasema wanatoa...
shkmoni wana jamvi mwenzenu nimegundua mademu wengi wanao fanya kazi Benki nyingi Bongo aise wanastrees mbaya, yani ukigusa tu hawachomoki sema wanavyo vyaa unaweza waogopa ila wengi wao wanamegwa...
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni...
Wakuu short story tu ni kwamba kweli yule mke wa mpemba nilifanikiwa kukutana nae ila kilichonikuta ni hiki hapa,
Kwanza picha linaanza binti kafika eneo la tukio akiwa amependeza kinyama, full...
Habarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya.
Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana.
Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi...
Habari ,
Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya Tanzania...
Nchi za ulaya zimeendelea zaidi katika maendeleo ya family sababu kule ndoa si kifungo kabisa hata nchi za Africa kama kutakuwa na ndoa za mkataba zitasaidia Mambo kama haya
1.kulinda Mali za...
Nimemiss kupendwa na mwanamke sanaaaaa.Yani ananitafuta kila saa,tunashinda wote fully malavidavi packages zote.Sijui nipate wapi beautiful wa kupeana haya yote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.