Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.

------------

Mdau mmoja anaomba ushauri, mimi nimeleta kwenu tujadiliane.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktkt suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi
Connection
 
Mayunga - umeoa ama umeolewa? Toa ufafanuzi kwanza ili usaidiwe vizuri.
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktkt suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktkt suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi

Nipe mimi!
 
Nilifikiri Mayunga ni mwanaume tena msukuma ila kwakua tunatumia id feki siwezi judge sana ila uchaguzi wako wa jina kuna mwanga unatugea.

Bado sijawahi kukutana na wanandoa ambao hawajawahi kua na moments tamu za ndoa. Kipindi chote nilichokua field ndoa ambazo watu tendo wanaanza kuona halifai zilikua zenye muda kuanzia miaka mitatu.

Na hata hawa mwaka mmoja au miwili inakua kipindi cha kuenjoy maisha pia na kwenye uchumba hua inakua kipindi cha kufanya tendo in a sensational mood, spark, lust and love is all there.

So unanifanya nifikirie mara mbili unavyosema haujawahi hata mara moja.

Hapa sasa ndiyo tunakuja kwenye uchaguzi wako wa jina.

Naweza nikawa sahihi au nisiwe sahihi so nivumilie:
  • Haujalelewa na baba.
  • Ulistruggle kuadopt bila father figure.
  • Ukajitengenezea imaginary being ambaye ndiye Mayunga.
  • Utotoni uliexperience sexual abuse.
  • Ili kumask hiyo experience imekufanya uishi kama mwanaume.
  • Eventually ukajihesabia wewe ni Mayunga.
  • Usichana ukaja hit you hard ukajikuta upo torn kati ya kua mwanamke au mwanaume.
  • Ukaamua kua wakike kuendana na matarajio ya jamii ila deep bado una mgogoro.
  • Hujalet go abuse uliyopitia.

Anyway, as I said naweza kua sahihi au nisiwe sahihi kama nipo sahihi fanyia kazi ishu husika. Ngono ni swala la hisia zaidi kabla mwili haujahusishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom