mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 535
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni Muislam)....
KISA KILIPOANZA
Nilimuomba tukimaliza mwezi mtukufu Nile tunda (tusex) akakubali kuwa atanipa. Sasa tumemaliza namuomba hataki na anadai kama siwezi kuvumilia niachane nae mm katika maongezi nikamwambia naheshimu maamuzi yake ila "Ningeweza ningekuwa na mwanamke mwinginine na asijue ila namuheshimu" hili neno nililopigia mstari likamkera sana, Jana usiku akadai tuachane ila akapindua maamuzi na kusema kanisamee Baada ya mm kubembeleza...
SWALI KWA WAJUZI
Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......