Natafuta mchumba/Girl friend

T123

Member
Dec 21, 2020
17
9
Wakuu habari na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa.

Natafuta mchumba wa kike
Umri miaka 24 kushuka chini
Elimu-kidato cha 4 na kuendelea

Mimi binafsi
kijana wa umri miaka 27
Ajira ninayo
Naishi Dar
Elimu ya juu(degree 1)
Ewili wa kawaida kg 63.

Alioko interested nichek PM tuongee zaidi.
shukrani.
 
Una gari kijana?
Kama huna gari utapata tabu sana, nakushauri tafuta kwanza gari then utafute girlfriend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom