Ex-wife kaolewa lakini ananifatilia sana

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
638
Reaction score
581
Habari ,

Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya Tanzania ,Aliondoka baadae ya kugombana na mume wa mtu bar, niliwasiliana nae nikiwa uko nje ya nchi arudi ,alikata pamoja na kumwambia nimemsamehe, niliomba ndugu waniangalizi nyumban kwangu sababu sijapanga,na kulikua na mifugo wawe wanaenda ipa vyakula basi, lakin siku ya tatu mke alirudi akachukua vyombo vy ndani akaondoka.

Nilijulishwa kwa whatsapp mkeo mbona kabeba vyombo vya ndani nikampigia hakupokea ,nikaomba ndugu wakaniangalizie huko kweli walikuta kachukua vitu vya ndani mpka mashuka na,kila kitu chake, alipokuja pokea simu alikiri ye kachukua kwakua kaamua kuachana na mimi ,nilimuuliza kulikoni na sina kosa nawe, pia umeondoka mi nikiwa mbali ivyo.

Haikusaidia siku iliyofuata alirudi tena akajigawia kuku ambao walibakia kwani nami niliomba mbuz waondolewe. Niliporudi nilijaribu hata kwa wazazi wake ilishindikana jibu nililopewa na baba yake mtoto wake ataolewa tu,kauli ambayo toka awali aliitumia,ilifikia mahali nami nikakubali kilichotokea ,maisha yakaendelea siku mdai kitu chochote kwakua nina mtoto nae huko alipo vitawasidia.

Miezi miwili kupita akaniambia mi niowe yoyote si mfai pia ye ataolewa mji huo huo mi nilimkubalia olewa kokote sawa tu misina shida ila mtoto nijue ataishi vip, mwisho siku alikuja olewa na jirani nyumba ya pili,kiukweli niliumia baadae nikaona vyombo mashuka vipo kwa mwanaume uyo , nkapotezea mi nikaendelea na mambo yangu ,mwez mmoja alianza maneno kunisema,wakt mwing kunitukana kimafumbo kila napo rudi usiku nyumban

Wakt mwingin aliwatukana marafiki wa kike waliokua wamekuja kwangu au ongea nao barabaran, walifungua ndoa sikuwaekea pingamizi , wakaenda shitaki sitoi matumiz ya mtoto lakin wakafukuzwa kwakua story yake na uyu jirani ilijulikana mji mzima, leo alimtuma mtoto nimpee ela ya kwenda kutembea na soda nikamwambia mtt baadae matusi na mafumbo yakaanza.

Kwasasa wazazi wanatukanwa
nae,mawifi zake wanakaa mda narudi kazin matusi na maneno mpka inakua kero na sijawai wajibu wala wauliza

Naombe ushauri wenu mi nikijana mdogo bado ,changamoto hii naipata kwa wanandoa hawa inanikosesha amani
 
Habari ,
Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya tanzania ,Aliondoka baadae ya kugombana na mume wa mtu bar, niliwasiliana nae nikiwa uko nje ya nchi arudi ,alikata pamoja na kumwambia nimemsamehe, niliomba ndugu waniangalizi nyumban kwangu sababu sijapanga,na kulikua na mifugo wawe wanaenda ipa vyakula basi, lakin siku ya tatu mke alirudi akachukua vyombo vy ndani akaondoka, nilijulishwa kwa whatsapp mkeo mbona kabeba vyombo vya ndani nikampigia hakupokea ,nikaomba ndugu wakaniangalizie huko kweli walikuta kachukua vitu vya ndani mpka mashuka na,kila kitu chake, alipokuja pokea simu alikiri ye kachukua kwakua kaamua kuachana na mimi ,nilimuuliza kulikoni na sina kosa nawe, pia umeondoka mi nikiwa mbali ivyo. Haikusaidia siku iliyofuata alirudi tena akajigawia kuku ambao walibakia kwani nami niliomba mbuz waondolewe. Niliporudi nilijaribu hata kwa wazazi wake ilishindikana jibu nililopewa na baba yake mtoto wake ataolewa tu,kauli ambayo toka awali aliitumia,ilifikia mahali nami nikakubali kilichotokea ,maisha yakaendelea siku mdai kitu chochote kwakua nina mtoto nae huko alipo vitawasidia. miezi miwili kupita akaniambia mi niowe yoyote si mfai pia ye ataolewa mji huo huo mi nilimkubalia olewa kokote sawa tu misina shida ila mtoto nijue ataishi vip, mwisho siku alikuja olewa na jirani nyumba ya pili,kiukweli niliumia baadae nikaona vyombo mashuka vipo kwa mwanaume uyo , nkapotezea mi nikaendelea na mambo yangu ,mwez mmoja alianza maneno kunisema,wakt mwing kunitukana kimafumbo kila napo rudi usiku nyumban, wakt mwingin aliwatukana marafiki wa kike waliokua wamekuja kwangu au ongea nao barabaran, walifungua ndoa sikuwaekea pingamizi , wakaenda shitaki sitoi matumiz ya mtoto lakin wakafukuzwa kwakua story yake na uyu jirani ilijulikana mji mzima, leo alimtuma mtoto nimpee ela ya kwenda kutembea na soda nikamwambia mtt baadae matusi na mafumbo yakaanza.

Piga zako kimya , endelea na mishe zako

Yatapita tu na kusahaulika
 
I see mpelekee moto piga na mimba kabisa ili aache kukufuatilia
 
Kwani ww ukikaa kimya na kuwapuuza unapungukiwa na nini? ..... Angalia mambo yako yanaenda sawa?, Km yanaenda sawa bs inatosha. (Hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa, haswa kiumbe anayeitwa mwanamke). Akiamua kuongea anaongea weeee umbea km wote.
NB. Na ukiona haujisikii poa Zaid, bs ama. Mbn sehemu zipo nyingi tu
 
Habari ,
Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya tanzania ,Aliondoka baadae ya kugombana na mume wa mtu bar, niliwasiliana nae nikiwa uko nje ya nchi arudi ,alikata pamoja na kumwambia nimemsamehe, niliomba ndugu waniangalizi nyumban kwangu sababu sijapanga,na kulikua na mifugo wawe wanaenda ipa vyakula basi, lakin siku ya tatu mke alirudi akachukua vyombo vy ndani akaondoka, nilijulishwa kwa whatsapp mkeo mbona kabeba vyombo vya ndani nikampigia hakupokea ,nikaomba ndugu wakaniangalizie huko kweli walikuta kachukua vitu vya ndani mpka mashuka na,kila kitu chake, alipokuja pokea simu alikiri ye kachukua kwakua kaamua kuachana na mimi ,nilimuuliza kulikoni na sina kosa nawe, pia umeondoka mi nikiwa mbali ivyo. Haikusaidia siku iliyofuata alirudi tena akajigawia kuku ambao walibakia kwani nami niliomba mbuz waondolewe. Niliporudi nilijaribu hata kwa wazazi wake ilishindikana jibu nililopewa na baba yake mtoto wake ataolewa tu,kauli ambayo toka awali aliitumia,ilifikia mahali nami nikakubali kilichotokea ,maisha yakaendelea siku mdai kitu chochote kwakua nina mtoto nae huko alipo vitawasidia. miezi miwili kupita akaniambia mi niowe yoyote si mfai pia ye ataolewa mji huo huo mi nilimkubalia olewa kokote sawa tu misina shida ila mtoto nijue ataishi vip, mwisho siku alikuja olewa na jirani nyumba ya pili,kiukweli niliumia baadae nikaona vyombo mashuka vipo kwa mwanaume uyo , nkapotezea mi nikaendelea na mambo yangu ,mwez mmoja alianza maneno kunisema,wakt mwing kunitukana kimafumbo kila napo rudi usiku nyumban, wakt mwingin aliwatukana marafiki wa kike waliokua wamekuja kwangu au ongea nao barabaran, walifungua ndoa sikuwaekea pingamizi , wakaenda shitaki sitoi matumiz ya mtoto lakin wakafukuzwa kwakua story yake na uyu jirani ilijulikana mji mzima, leo alimtuma mtoto nimpee ela ya kwenda kutembea na soda nikamwambia mtt baadae matusi na mafumbo yakaanza.

Kwasasa wazazi wanatukanwa
nae,mawifi zake wanakaa mda narudi kazin matusi na maneno mpka inakua kero na sijawai wajibu wala wauliza

Naombe ushauri wenu mi nikijana mdogo bado ,changamoto hii naipata kwa wanandoa hawa inanikosesha amani
Usimjibu chochote ila kuwa nae makini kama mnaishi jirani anaweza akakufanyia tukio kwasababu anaona vituko anavyokufanyia halafu ww hujali atakuja na gia nyingine huyo
 
Ukishapoa kaa chini fanya uhariri hii ishu yako tuielewe
 
Back
Top Bottom