Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

•Bila shaka haipaswi kuwa siri baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake, hata kama wanapendana kiasi gani Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za mwaka mpya Ukishakua jamiiforums basi elewa kwamba umezungukwa na marafiki wengi sana tofauti tofauti ni jambo la kujivunia kwa hakika Kijana mwanauume embu kuwa na uwezo ambao Mungu...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma...
13 Reactions
114 Replies
16K Views
𝗜 𝗸𝗻𝗼𝘄 𝗺𝗮𝗻𝘆 𝗴𝗶𝗿𝗹𝘀 𝗮𝗻𝗱 𝗹𝗮𝗱𝗶𝗲𝘀 𝗴𝗼𝗻𝗻𝗮 𝗯𝗲 𝗮𝗻𝗴𝗿𝘆 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝘁𝗵𝗶𝘀 𝗽𝗼𝘀𝘁 𝗯𝘂𝘁 𝘁𝗿𝘆 𝗹𝗲𝗮𝗿𝗻 𝗳𝗿𝗼𝗺 𝗶𝘁. 𝗚𝘂𝘆𝘀, 𝗵𝗼𝘄 𝗱𝗼 𝘀𝗼𝗺𝗲 𝗼𝗳 𝘆𝗼𝘂 𝗲𝘃𝗲𝗻 𝗰𝗼𝗽𝗲 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗱𝗮𝘁𝗶𝗻𝗴 a 𝗯𝗿𝗼𝗸𝗲 𝗴𝗶𝗿𝗹?𝗜 𝗸𝗻𝗼𝘄 𝘀𝗼𝗺𝗲 𝘀𝘁𝗶𝗹𝗹 𝗱𝗼𝗻'𝘁 𝘂𝗻𝗱𝗲𝗿𝘀𝘁𝗮𝗻𝗱 𝘄𝗵𝗮𝘁 𝗜 𝗺𝗲𝗮𝗻 𝗯𝘆...
29 Reactions
35 Replies
5K Views
Aisee ukishangaa ya firauni utayaona ya Musa. Kuna rafiki yangu mmoja dah, jamaa ana bahati sana yaani sehemu yoyote wakati wowote mkiwa nae lazima kuna kademu katamtokea. Hii imekaaje? Kweli...
4 Reactions
59 Replies
11K Views
Habarini wakuu, hivi ikitokea mnyama kajifungua kiumbe kinachofanana na binadamu kama picha inavyoosha hapo. Hiko kiumbe kinaachwa kiishi au kinauliwa. Sent from my SM-A105F using JamiiForums...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Habari wapendwa wana jamvi LA jf! Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf! Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao...
5 Reactions
112 Replies
4K Views
Miaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
.....niliwahi ota nataka kuanguka na baada ya kushtuka kwenye ile ndoto kutahamaki hivi kumbe kulikuwa kuna.............
1 Reactions
8 Replies
747 Views
Kunya Mara kwa Mara Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia...
17 Reactions
73 Replies
5K Views
Hakuna kitu ambacho huwa kinaniumiza sana kama hiki. Yaani huwa naumia sana, moyo wangu huwa na huruma sana ninapoona kuna mtu anaumia moyo kwaajili yangu na kwa namna yoyote huwa najitahidi kuwa...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Umepata namba ya mtoto mkali ukaamua kumrukia hewani. Mara ukakutana na swali hili, "Umepata wapi namba yangu?". Wanaume wengj ni wahanga wa hii kitu. Je, uliwezaje kuliepuka au kulijibu swali...
0 Reactions
187 Replies
26K Views
Wanaume hawana uvumilivu kabisa mbele ya papuchi, so muweke mbali sana mkeo au demu wako na rafiki yako, otherwise utamegewa. Rafiki yako anayafahamu madhaifu yako mengi anaweza kutumia hayo...
14 Reactions
44 Replies
5K Views
1.Ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe 2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa wale ambao walishaota wanakojoa na wakajikojolea ndo wanaweza kuelewa hicho kichwa cha mada!. "Love is about flowing". Mkikutana wawili mliokutanishwa na upendo wakweli hamuwezi tumia nguvu...
3 Reactions
11 Replies
793 Views
...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamii forum, naomba ku share hii na ninyi!!! Kuna mdada nilikuwa nampenda sana, nikaamua kumfungukia, akanikataa kata kata, ili kuepusha kale kauadui kanakojitokeza baada...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli. Tukirudi kwenye kichwa cha...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
Je , umewahi tafakar hili suala ukapata majibu?? Mwanzoni mwa Mapenzi , wapenzi hupendana, husikilizana na kuahidiana makubwa katika maisha ya mahusiano yao, wataitana kila Aina ya majina kama...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom