High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,083
Nchi za ulaya zimeendelea zaidi katika maendeleo ya family sababu kule ndoa si kifungo kabisa hata nchi za Africa kama kutakuwa na ndoa za mkataba zitasaidia Mambo kama haya
1.kulinda Mali za wanandoa kabla hawajaanza kuwekana ndani inamaana kunakuwa na form mnajaza kabla ya kuoana Mali mlizonazo na zile za baada ya kuoana ndio zitagawiwa incase mkataba ukiisha na hamtaki kuendelea
2.zitapunguza manyanyaso ndani ya ndoa ikitokea mmoja anasumbua unasubili Tu mkataba uishe kila mtu ale alichovuna
3.zitasaidia kuwa makini Kwa wana ndoa
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app