Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Jamani eeh..Hivi hawa wanawake wa Kimasai waliopo huku mijini wanachepuka?

Kama wanachepuka vipi wakiwa ulingoni ubora wao upoje?

Naamini kwa ukubwa wa JF,wapo watu walisha pata uzoefu wa maswali yangu.

Eehhh...Nilikuwa nimesahau jambo moja.

Hivi wanaume wa kimasai wanayale mapenzi ya kuwashika mademu zao mikono wawapo barabarani?

Hapa nazungumzia wamasai wale waporini kabisa,Wanao abudu tamaduni zao na mila.Sio kama wale watoto wa Ole sendeka na Laiza wamasai wa mjini.Wanaomfahamu Jay Z na Diamond.
 
Masai hana muda wa kuchepuka muda wote anawaza ngombe, mapenzi ni kwa ajili ya kuendeleza vizazi that's all
 
Kibo10 mada inatakiwa kuwa hivi: kwa nini wanawake/wake za watu wanapenda kuchepuka na wamasai
 
Last edited by a moderator:
Wamasai wale wa bush kabisa huwa hawachepuki kwan huwa wanakeketwe yaan kuondolewa baadhi ya zile sehemu ambazo zinaamsha aski katika kufanya mavituzi. Hivyo wenyew hawana mda wa kuchepuka wapo tu pale waume zao wanapowahitaji wanawapa bac dat is all about
 
Back
Top Bottom