PNU
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 377
- 2,807
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake au wanaume juu ya matatizo ya ndoa zao, hii ni tafiti yangu fupi kuhusu vyanzo vya migogoro katika ndoa….Ila kwa huu uzi nitaeleza sababu zinazosababishwa na Mwanamke:
1. Wanawake wengi wanapenda lile tukio la sherehe ya NDOA na sio majukumu yanayo ambatana na ndoa. Wanawake wengi baada ya kuolewa wanaanza kubadilika kwa kukataa majukumu ya hudumia familia kwa upande wa majukumu ya ndani kma kupika, usafi na kumuhudumia mumewe, wengi usema sijaolewa kuwa mfanyakazi.
2.Wanawake wengi wanapenda kupekeu taarifa binafsi za wanaume zao hasa kwenye simu, jambo usilolijua 90% ya wanaume hasa vijana uwa na marafiki wa kike yaweza kuwa ni marafiki wa kawaida au mchepuko ila kitendo hicho inapelekea mke kuanzisha tafrani ndani kupitia mawasiliano aliyo yaona kwenye simu binafsi ya mumewe.
3. Wanawake wengi ufatisha mkumbo wa marafiki zao. Akiona rafiki yake kanunuliwa kitu fulani na mumewe basi naye pia anataka kufanyiwa hvyo na mumewe bila kuangalia hali halisi ya maisha yao.
4. Jeuri ya mwanamke pale anapokuwa na kipato sawa au kumzidi mumewe, hii inapelekea wanawake wengi kutowaheshimu wanaume zao na wengine uhisi anaweza kuishi mwenyewe bila ya mwanaume na ndipo anaaza kuleta mvutano.
5.Mwanaume akikuagiza kufanya kitu na husipofanya anahisi umemdharau au humuheshimu, hivyo msuguano unaanza kutokea kwenye ndoa.
6.Wanawake wengi wanabadilika sana kiurembo pindi wanapo olewa, yaana kipindi kabla ya kumuoa alikuwa akiweka nywele vizur, lotion za kunukia, nguo nzur yaan ulikuwa ukimuoa tu unasema uyu ndo mwanamke, ila baada ya kumuoa utakuta unarudi kazini unamkuta nywele zake ziko ovyo, kavaa kanga imechanika yaan yupo rafu, hii inapelekea wanaume kupoteza matamanio kwa wanawake zao haraka sana.
7. Wanawake wengi hawaridhiki na maisha waliyonayo, unakuta yeye ni anataka kushindana na wenzake na hivyo kupeleka presha kubwa sana kwa wanaume zao.
8. Wanawake waliosoma wanajiona sawa na mwanaume, upelekea kiburi na ugomvi kwenye ndoa.
9.wanawake kuruhusu wakwe kuingilia mambo ya familia zao, anachoambiwa na mama yake au baba yake au ndugu zake basi anaenda mshushia mumewe.
10. Wanawake wengi hawataki kujishusha pale wanapokosea na hii upelekea hasira kali kwa wanaume na wengine hata kufikia hatua mbaya ya kupiga.
Je wewe unahisi sababu nyingine ni ipi ambayo upelekea migororo kwenye NDOA?