Mtwara ni ya pili kwa vibe Tanzania

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Jana usiku buana nikaingia mtwara bay kwa mara ya Kwanza sikuwahi kufika huku.mwenyeji wangu akaamua kunionyesha machimbo ambayo watu huteketeza pesa zao.

Kiwanja Cha Kwanza tukaingia pale triple V bwanaa weee sijawahi kuona vibe la namna ile watu Ni wengi usipime,baadae mida ya saa sita usiku tukaenda sehemu moja inaitwa jeshini Ni karibu na ufukwe pale tumekuta watoto kama laki Tano hao bodaboda kwanza ndo wakutosha kibaooo..nimeshuhudia vitoto vidogo kabisa size ya form one bado vinajirusha vimevaa vipedo vile vya kubana..kwa kuwa nilikuwa nimetoka Safari tokea mbeya nimechoka nikaona hamna haja ya kuendelea kuchezea matako yao huku lounge nikaamua nikapumzike sikubonga na demu yoyote niliamua Kwanza niwe mpole na kale kaugeni nikawa nimebumbwa.

Ila oyaaa aisee huku mapenzi sio shida pesa yako tu kama ilivyo mikoa mingine ila kwa upande wa vibe sijaona wa kuipiku mtwara Zaidi ya dar. Sie wote vijana tunafahamiana Ni wazee wa malomoni ila mtwara imezidi.nimekaa Sana dodoma chako Ni chako,sgd club zote,morogoro na tanga sijawahi kuona umati mkubwa wa watu usiku wakila Bata Kama umati niliuona Jana hapa mtwara kwenye viwanja vya jeshi.

Na ni sehemu tu za wazi unamdaka digidigi wako mnaenda baharini huko unaromba kiroho Safi Bei zao kwa night nzima umepigwa Sana 20000.Ndo maana namuonaga harmonize Ana mizuka mingi sana huku mbezi alipopangishia wasanii wake kina country boy na akiwa anavuta Yale majani yetu ya sungura ila skanka anakuwaga na vibe Sana nikawa najiuliza mbona wamakonde sio wajanja ye huyu anawezaje kuwakilisha vizuri namna hii kumbe asee watoto wa huku Ni sheeeeda leo nimeamka naziwaza k za Jana Nina hamu ya kutooooo kutoka out.

Leo hata Kama ni siku ya kazi lazima nitafute mrithi mmoja wa punyeto hapa pwani ya kusini.ila ndo kuweni makini nimeambiwa Kuna ukimwi huo wa kimsumbiji Ni noma japo sio mkali sana Kama ule wa ki entebbe.
 
Hivi kwa huku mwanza sikuhizi wapi panabamba, Nimepita Diamond jana kwenye saa sita usiku palikuwa pa hovyo kweli utafikiri tupo msibani nikasepa zangu kulala mapema tuu
 
"....... nikaamua nikapumzike sikubonga na demu yoyote niliamua Kwanza niwe mpole na kale kaugeni nikawa nimebumbwa."

KWAIYO UKATOKA BILABILA HALAFU UNAKIJA KUJISIFIA UZEMBE. ULITAKIWA UCHAKATE HATA KIMOKO TU.
 
Back
Top Bottom