Nimempa mpenzi wangu laki moja ya kununua simu, kakasirika na kususa

mtu bati

Senior Member
Mar 29, 2021
117
128
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
 
Chukuaa hiyo Hela mtumie mama yako atakushukuru milele
Chukua huu ushauri. Mamako atakushukuru na kukuombea sana ufanikiwe tena na tena. Na machozi ya furaha juu...na kweli utabarikiwa sana na mfuko wako hautapungukiwa.

Ila najua hiyo hela utairudisha tu kwa huyo mdangaji - hasa kama ni pisi kali. Wanaume sisi yaani basi tu
 
Mpumbavu huyo hajui thamani ya pesa zako, mwambie kama anaona rahisi kupata akatafte zakwake.

Hawa wanawake siku hiz wameharibika sana wanawageuza wapenzi kuwa sehem za misaada na uchunaji,

Usipokuwa makini utapoteza sana pesa zako, wanawake wa hivyo hawafai hata kuolewa, mimi hiyo pesa ningemwambia bora afungue genge la nyanya afanye mtaji, kulko kununua simu ambayo haitamsaidia kitu, zaid ya kupost umbea huko Instagram na kuchati upumbavu na mashoga zake.

Rudisha hizo pesa kampe mzaz wako ama ndugu zako kule kijijin kama hawajakushukuru na upate baraka maishani, achana na maslay qn watakupotezea Muda wako
 
Chukua huu ushauri. Mamako atakushukuru na kukuombea sana ufanikiwe tena na tena. Na machozi ya furaha juu...na kweli utabarikiwa sana na mfuko wako hutapungukiwa.

Ila najua hiyo hela utairudisha tu kwa huyo mdangaji - hasa kama ni pisi kali. Wanaume sisi yaani basi tu
Sio kwamba utamu wa papuchi ndio unatifanya kudata?
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu. Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. NaombA tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena. Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
Achana nae hiyo laki ukijua kuitumia vizur unapata mbusus zingine kama tatu za dizain tofaut tofaut. Huu uchumi ulivyo mgumu watoto wanalika mpka kwa kitu kdg sana
 
Chukua huu ushauri. Mamako atakushukuru na kukuombea sana ufanikiwe tena na tena. Na machozi ya furaha juu...na kweli utabarikiwa sana na mfuko wako hutapungukiwa.

Ila najua hiyo hela utairudisha tu kwa huyo mdangaji - hasa kama ni pisi kali. Wanaume sisi yaani basi tu

IMG_20220308_220902_762.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpotezee huyo, kwani mama yake atamfunga kwa kuchelewesha laki.?

Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena. Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
 
Naongea na Bill Lugano akujengee kiwanda cha kutengeneza simu ili mke wako awe na furaha muda wote, maana ametawaliwa na pepo mchafu
 
Back
Top Bottom