Kuanzia leo sitaki tena mabinti wadogo

Kuanzia leo sitaki tena mabinti wadogo

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Leo kuna kabinti kabichi bichi nimezinguana nae, nimempa apointment tukutane saa nane mchana mpaka muda huu anasema yuko njiani.

Kaniudhi sana yaani sana, kafanya niwachukue mabinti wote, nimepiga chini mademu zangu wote under 29,

Na nimeamua Rasmi kuanzia leo sitaki tena mabinti nitadeal na mama zao,

Mabinti!/wasichana wanajiona keki wakati watu wazima ndio mpango mzima,

Wako ontime, on bed wako vizuri, kwenye usafi pia usiseme,

Kujituma kitandani ndio wenyewe, nakshi nakshi za shanga kiunoni ndio kama mahala pake.

Sitaki tena mabinti sasa ni wakati wa kudeal na Mama zao,

Ngojaa usiku huu nikaamshe kwa jimama langu flani, nipunguze hasira.


Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom