Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.
Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda...
Natamani kwenye hii miaka yangu ya 40+, ningekuwa na watoto wawili wenye miaka 20+. Ambao ningeongozana nao, na kuonekana kama mtu na kaka yake. Ingependeza sana.
Sasa mambo yamekuwa tofauti; kwa...
Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni...
Shemej yangu uyu Nadhan kuna siku nilishawahi kumzungumzia humu siku za nyuma[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41974550...
Habarini za usiku huu wana jamvi,
Kwa Mara ya kwanza nimeamua kuandika Uzi huu kwa tukio ambalo nimelishuhudia mwenyewe usiku huu. Nipo hapa mjini Morogoro kikazi na nimefikia katika lodge moja...
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha...
Habari, nahitaji Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 19 hadi 27 wa kuwa nae kwenye mahusiano serious yenye manufaa baadae. Kwa mengine mengi zaidi tutaelezana inbox. Karibu
Salam! Hali hiyo tu hapo juu ndiyo chanzo kikubwa cha mimi kuzaa na huyu 'jimama'.
Frankly napenda na kuvutiwa sana na wanawake warefu wenye matumbo laini na nyama zinazoning'inia, na kitovu...
Huyu ndugu yangu ambaye kwangu ni kaka, alikapata kadem kakiwa kidato cha nne kakawa kamefaulu ushindi wa kukapeleka vyuo vya kati.
Jamaa akafanya mpango, akakatafutia shule ya private, kidato...
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa na shughuli mbalimbali za kuhakikisha mafuta ya kupikia hayakosi ndani!
Ila hili jambo la baadhi ya wanaume wenzetu kuendekeza zaidi tendo la ndoa katika...
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba...
Ndio, namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu, narudia kusema mwenye akili timamu.
Umri kuanzia miaka 22 mpaka 30. Mimi mwenye mi pia nipo kwenye hiyo miaka. Awe Dar es Salaam
Kingine...
Sijui ni ugonjwa wa phonephobia mazoea wivu wa mapenzi au kutaka attention, Mungu ndo anae jua, ila siku ya leo nime chukua uamuzi mgumu baada ya kufikiria sana ni memuondowa wife kwenye...
Habari za weekend wadau?
Namtafuta mdogo wangu/rafiki yangu Swaumu Juma, tulikutana Morogoro nyumbani kwao, 2020 kipindi anasoma chuo, mie nilikuwa nafanya kazi kwa muda.
Yeye alikuwa anasoma...
Familia nyingi zina watu mizigo.
Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai...
Kwanza niseme wazi hili ndio tukio lililochukua muda mchache zaidi kuliko vile nilivyotegemea kuwa,
Kwanza Zero na dressing code zangu,"wengine waliita za kinyalu" Nimetinga ukweni na kumkuta...
Habarini wakuu naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania
Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Niko na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye mahusiano yanaenda miezi...
Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata...
Salaam!
Tupo room muda huu na mpenzi wangu, analia hapa na kajilaza. Sababu kuu ni kuwa nimekataa ani massage. Alitaka anifanyie ya mwili mzima, yaani nilale kifudi fudi aone makalio yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.