Namtafuta rafiki yangu Swaumu J

Namtafuta rafiki yangu Swaumu J

Jimmy son

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
709
Reaction score
1,311
Habari za weekend wadau?

Namtafuta mdogo wangu/rafiki yangu Swaumu Juma, tulikutana Morogoro nyumbani kwao, 2020 kipindi anasoma chuo, mie nilikuwa nafanya kazi kwa muda.

Yeye alikuwa anasoma chuo cha kilimo/mifugo kilichopo hapo town, nilipoteza contact zake, nimejaribu kuseachmitandaoni sjaambulia kitu, yoyote anayemfahamu msaada please.
 
Back
Top Bottom