Je, ni sahihi kumsomesha mke?

Je, ni sahihi kumsomesha mke?

Mr Kactus

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
510
Reaction score
2,971
Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni je, kwa mke nayo ni hivyo hivyo?

Kuna mtoto wa mtu kamaliza kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Ni wife material hasa na inavyoelekea anaweza akanishawishi nikauacha ubachela rasmi mwaka huu. Sasa moja ya ndoto zake akishaolewa anatamani aendelee kielimu apate kadiploma.

Karibuni kwa ushauri.

Uzi tayari!
 
Sasa hapa unazungumzia kumsomesha mchumba au mke?????

Kichwa cha habari na maelezo haviendani.
Fanya editing ila makubaliano hayajabadilika.
Rudia tena kusoma utaelewa
 
Aisee mmeshatuchosha bana kila cku tunaludia yale yale..awe mke,mchumba hasomeshwi.
Dah nimekusoma mkuu ingawa umeniambia kwa ukali sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni je, kwa mke nayo ni hivyo hivyo?

Kuna mtoto wa mtu kamaliza kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Ni wife material hasa na inavyoelekea anaweza akanishawishi nikauacha ubachela rasmi mwaka huu. Sasa moja ya ndoto zake akishaolewa anatamani aendelee kielimu apate kadiploma.

Karibuni kwa ushauri... Uzi tayari!!

Hakuna tatizo lolote kumsomesha mke mkuu,lakini hakikisha iwe ni chuo cha biblia tu ili akikupiga na kitu kizito aendelee kuhubiri injili ya bwana!
 
Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni je, kwa mke nayo ni hivyo hivyo?

Kuna mtoto wa mtu kamaliza kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Ni wife material hasa na inavyoelekea anaweza akanishawishi nikauacha ubachela rasmi mwaka huu. Sasa moja ya ndoto zake akishaolewa anatamani aendelee kielimu apate kadiploma.

Karibuni kwa ushauri... Uzi tayari!!
Yaani hata kusomesha mke wako unataka tukushauri; hapo kuna shida gani?
Hiki kizazi cha karne hii kina kazi kweli kweli
 
Nisawa tu mkuu, mbona mimi wangu anasoma na mimi nipo nyumbani nalea na kuwapikia watoto..🤣
 
Back
Top Bottom