Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Salaam!
Tupo room muda huu na mpenzi wangu, analia hapa na kajilaza. Sababu kuu ni kuwa nimekataa ani massage. Alitaka anifanyie ya mwili mzima, yaani nilale kifudi fudi aone makalio yangu?
Nimekataa, aisee siwezi ruhusu ayaone wala kuyagusa. Naona ugomvi unazidi kuwa mkubwa na ame-mind sana. Namuamsha hataki, anasema simpendi. Ananiuliza ni nani ananifanyia masaji kama sio yeye.
I can't!
Kama hali ni hii wanandoa wana shida mno. Nakosa maneno ya kumuelewesha.