Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,487
- 62,891
Natamani kwenye hii miaka yangu ya 40+, ningekuwa na watoto wawili wenye miaka 20+. Ambao ningeongozana nao, na kuonekana kama mtu na kaka yake. Ingependeza sana.
Sasa mambo yamekuwa tofauti; kwa tulio wengi kwenye hiyo miaka, bado tunapambana na bajeti za kununua pampasi kwa ajili ya watoto wetu. Na wengine, bado hata kuanzisha familia.
Ama kweli, majuto ni mjukuuu.