Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao...
Habari wana JF,
Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze.
Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio?
Nina nyumba ya...
Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University...
Niko somewhere in East africa, wife yuko kilometres kadhaa from me na tumezinguana toka jana,hakuna aliyemtafuta mwenzie leo for sex video,so nimeamua nitafute tu malaya hapa nilipo nijipigie siku...
Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi...
Wadau habari,
Mimi nina jambo linanitatiza sana, sana, sijui nimekua dhaifu au ni vipi. Jamani kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, dada huyu...
Habari wadau.
Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo.
Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka...
Habarini wapenda,
Binafsi nafurahi sana kuwa mahali hapa najifunza mnooo.
Ila nilikuwa nina ombi. Mtu anapoleta uzi kutaka ushauri au msaada. Tujifunze kuwa na utu kuwaelekeza watu bila...
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..
Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa...
Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na...
yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake.
chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane...
Stori ipohivi hapa tulipo kuna kabinti kazuri (22yrs) kamehamia hapa nikatokea kukaelewa nikakapanga kanaeleweka mara hakasomeki na anasema ana mtu wake mimi sikuona shida maana hata mm sina shida...
Naomba nikuulize msomaji huwa una kabiliana vipi na hali Kama hii.
Iko hivi, wakati tunasoma chuo kikuu Kuna wadau inaweza pita ata miezi 3 hamjawahi salimiana sio mna ubaya la hasha.
Wengine...
Jamani naombeni mnisaidie mbinu za kumsau ex
Yaani nilikuwa nimeshamsau kabisa ila cha ajabu leo nimeshangaa amerudi tena katika moyo wangu nimejikuta na mkumbuka na moyo wangu umekosa furaha...
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa...
Habari wakuu,
Msaada wenu kimawazo. Mama watoto wangu aliniomba hela ya mchango wa harusi kwa baba yake mdogo nikampatia 10,000/- Akaniuliza ndio hii hela ya mchango ulioniachia? Nkamjibu ndio...
Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.