Habarini za usiku huu wana jamvi,
Kwa Mara ya kwanza nimeamua kuandika Uzi huu kwa tukio ambalo nimelishuhudia mwenyewe usiku huu. Nipo hapa mjini Morogoro kikazi na nimefikia katika lodge moja hapa Msamvu.
Kilichotokea;
Ghafla hivi usingizini nasikia kelele chumba cha pili, nikastuka na kuanza kusikiliza, mara kelele zika zidi Mara mlango ukaanza kugongwa kwa nje na mlinzi akiwataka wafungue mlango Mara hivi Mara vile.
Nikaona isiwe shida ngoja niamke nikashuhudie. Nilichokikuta isee, huyo Jamaa ka ng'atwa meno mwili mzima na demu huyo akidai kuwa kamlipa kinyume na makubaliano. Ikabidi tuingilie kati na kumtoa yule msichana na kumwamuru aondoke guest hapo na kumwambia Jamaa akalale.
Ushauri
Wanawake wengi wanaojiuza ni wezi na majambazi, wanaume tuwe makini. Hata mimi ilishawahi nitokea pale Kahumba (kwa wale wenyeji), wakati bado na soma Chuo kikuu.