Wasalaam
Nilikuwa na manzi wangu nikiishi Ubungo Riverside by then, yeye akiishi Mbezi Kimara. Alikuja kunivuruga na chanzo kikiwa ni issue za kutoaminiana, aliniomba msamaha lakini nilikuwa...
Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba.
Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini?
Wakitoka nje...
Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua.
Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya...
Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo.
Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona...
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.
Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja...
Siku za karibuni kumeibuka kampeni isiyo rasmi inayoelekea kuwageuza wanawake wote wasio na upeo wa kuelewa mambo kuwa makahaba. Siku hizi imekuwa kawaida kukuta mijadala ya kuaminisha wanawake...
Baada ya muda mrefu kupita leo niko njiani naelekea ukweni kuonana na baba mkwe kwa mara ya kwanza ili kujitambulisha na kujuana nae.
Naombeni mnipe info kipi cha kuzingatia punde tu...
Pretty nyarwanda girl told me once that it is big pleasure for man to make her ejaculate and she can ejaculate a lot of vaginal fluids ,and she can spray like urination.
It is there culture in...
Mmependana na mtu amekua mpenzi wako na mnaenjoy life. Mmechukua hatua ya Imani mmekua mke na mme na maisha yanasonga Kwa amani na furaha.
Ghafla mambo yanachange, mmoja anaanza drama na...
Hilo neno linanitatiza sana,maana najua mahusiano ni mapatano ya mwanamke na mwanamke,kujamiiana ni makubaliano ya wote wawili.
Kwanini wanawake wawe na neno la kutumiwa?
Nisaidieni
Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia...
Wakuu natumaini hamjambo naomba ushauri nichukue maamuzi gani
Kuna binti amezoea kunipiga vizinga ilhali sina mahusiano nae ni ile tu kujuana kishikaji, mbaya zaidi anakuingizia uongo ambao muda...
Katika utafiti mdogo nilioufanya kwa warembo wakali saba, nimekuja kugundua; mwanaume anayeweza kulipa 'bill' pamoja na kuwa na uwezo wa kulizungusha gurudumu vizuri; ndio hupendwa zaidi na...
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.
Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano...
Habarini!.
Kuna mdau humu amenishtusha na uzi wake, analalamika kuwa alilipata jimama akawa analihonga elfu tano kila siku ya matapu tapu.
Sasa nikawa najiuliza hii imekaaje?
Nikaona nisiache...
Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake...
Habarini za wakati huu wadau na Wana JF....
Natumai mko vyema.
Naomba nieleze kisa kimoja au viwili na ambacho kimenifanya niandike hili.
Miaka kama 8 kadhaa iliyopita nikiwa Masomoni mkoa...
Kwema humu...
naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado...
Habari ako mwanajamii mwezangu , pia pole na majukumu yako.
Wiki kama 2 au 3 zilizopita niliandaa uzi mmoja unaohusu mm na mpenzi wangu , kwa wale wanaofatilia uzi wangu uliopita watakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.