Ni meamua kum-block wife kwenye line zake sa simu zote na Facebook

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,273
21,438
Sijui ni ugonjwa wa phonephobia mazoea wivu wa mapenzi au kutaka attention, Mungu ndo anae jua, ila siku ya leo nime chukua uamuzi mgumu baada ya kufikiria sana ni memuondowa wife kwenye mawasiliano yangu kwa kumblock kwote kwote.

Ni zaidi ya miaka miwili na pambana na tabia hi ya mke wangu kuacha kunipigia simu kila wakati nikiwa ofisini kwenye gari sehemu ya ibaada nk. Imekua too much kwamba kwa siku anaweza akakupigia simu za kawaida za video za messenger sio chini ya 10 kwa siku mchana tu na akianza kuongea anachukya kati ya 30min kwa 2hrs hachoki kuongea, sababu za kupiga hazipo ukimuulizia sana kwanini amepiga simu anaanza kubuni visa ambavyo hata havipo.

Ni mesha piga kelele na kumnunua zaidi ya wiki kadhaa lakini hi tabia ilisha kua sugu kwake, hata ukuzima simu yangu kama saa kadhaa ukiwasha tu simu yake insingia, tu na hi kwangu sio sababu ya kumtalaka mke hao watoto tulio nao bado wadogo sana.

Mimi nimeona ni sipo chukua hatua sasa hivi ntakuja kuugua pressure na maradhi ya mwoyo ya kujitakia bure, kama kweli ni meanda kwenye extreme end naomba mnsamehe mimi kwangu naona hayo sio mapenzi ni kero tu. Kama kuna wenzangu wako kwenye ndoa kabisa (sio uchumba au friendship) na mnakabiliana natatizo kama hilo tushauriana tafadhari tuli komeshe je.
 
Hukupaswa kublock ulipaswa kupunguza fedha ya wamtumizi Ili asipate bando lakitosha daili

We wengine huwa hatupigiwi licha yakumnunulia bando anasubiri muda unekaribia kuisha ndo anakutafuta aidha kubipu tu
Sasa ww unapigiwa kbs aki ya nani
 
Hiyo ni fantasy ya mkeo.... unatakiwa utumie busara kukomesha hali hiyo na sio kumblock moja kwa moja kwani inaweza kutokea emergency inayohitaji uwepo utatuzi wako kwa wakati huo maana huwezi jua Dunia Ina mengi.......
Hilo nilisha ongea naye hilo, ukupiga piga kuna siku kutokua na emergence ila sitakuchukulia serious plz punguza hizo calls naona kagoma anaendelea tu na tabia yake.
 
Back
Top Bottom