Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa...
Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya...
Hii ni njia nyepesi mno, ila inafanya kazi kwa asilimia 99 kwa wanawake wanaohiitaji kuingia kwenye mahusiano makini.
Achana na hawa wanawake wenye njaa ambao baba zao na mama zao wameshindwa...
Habari zenu wanajf?
Nimekuja humu kwenye hili jukwaa kutafuta mwanamke anaeishi na VVU ili aje kuwa mke wangu.
Nina miaka 33
Nahitaji aliye serious tu
Umri kuanzia miaka 29 na kuendelea
Kwa...
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia...
Mjomba Mwaisa hapa nilikua na mmendea manzi mmoja hivi, sasa siku ya jana akanipatia namba. Leo baada ya kumtafuta mida mida fulani vile mtu mbadi napanga miadi usiku tuonane, ghafla anatuma...
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya...
Japo uliniacha lakini haikumaanisha nilitakiwa kukuchukia.
Miaka saba iliyopita nilizama kwenye penzi la huyu msichana X aliyekuwa anasoma pale shule moja ya vipaji (wanawake tupu) jijini Dar es...
Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana...
Hey there i'm using JF.
Niliwahi kupigisha tuition madogo miaka ya nyuma kidogo kukwepa kukaaa bila kazi na kupata hela ya vocha. Siku moja naingia darasani nikakuta kama kawaida ubao...
Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu!
Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF...
Kuna mwanamke nilikutana nae kwenye garii nilikaa siti ya mwisho kabisa upande wa kushoto na yeye pia alikaa siti ya mbele yangu tulikuwa kikundi cha Street tulikuwa tunaenda Beach.
Sasa tamaa za...
Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara.
Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi...
Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema...
Wakuu habari za muda?
Nina jambo kidogo tushirikishane maana tunatakiwa kuelezana vizur hili naamini linaweza kuamsha au kusaidia baadhi ya watu kujua ni umri upi ni sahihi kuoa na kuolewa kwa...
Salaam ndugu zangu humu.
Naomba kufahamu kwa anaejua kama kuna madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu hasa kwa mwanaume kama yapo na kama yapo ni yapi?
Naomba ushirikiano wenu.
Hili ni jambo linalonishangaza sana. Kumekuwa na desturi ya binadamu wanaojihusisha na mapenzi ya namna nyingine kujitangaza hadharani kwamba wanaojihusisha na aina hiyo ya mapenzi.
Kwani...
Habari zenu ndugu wana JamiiForums, nimeona kama kawaida yangu na hili niwashirikishe kuna ndugu wa karibu mwenye jinsia ya kike umri wake kwa sasa anaweza kufikia miaka 52 amekuwa na tabia ambayo...
Anaandika Robert Heriel.
Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe.
Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo.
Asije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.