Mke muongo muongo pia ni kichomi ndani ya ndoa

Mke muongo muongo pia ni kichomi ndani ya ndoa

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,165
Wanaume wengi tumekua obsessed na aina moja ya tabia za wake zetu ambayo wengi hatuwezi kuvumilia, uzinzi au uzinifu, mara nyingi wanaumme hupima uamnifu wa wake zao kwa hilo la uzinzi, na kuja kusahau mama wa tabia zote mbaye huzaa vitabia vingine vingi, ni kusema uongo uongo.

A wife materia haipendezi kupiga mzinga yake kwa kutumia uongo au utapeli, Omba Mungu usije ukapate mwana mke muongo muongo nyumbani ambaye kwenye kila jambo ana kuwekea chembe chembe za uongo anae kuongopea kila kitu kila chenye faida kwake na vingine visio kua na faida yoyote kwake, uongo kama tabia ya mke ina ambatana na kuongea maneno mengi umbayo ni ya kusingizia watoto ndungu jirani na jamaa zako au zake, pamoja na utapeli wa pesa kwenye miradi ya nyumbani na pesa ya matumizi ya nyumbani.

Ukimpate mke wa aina hiyo utaona kwamba mke mzinzi anae fanya mara moja na kurudi nyumbani ana unafuu kwa mke muongo muongo kwa kila jambo. Jirani yetu msabato hapa ametelekeza familia na kuanzisha mji mgine leo ni mepata nafasi ya kusemana nae leo kanieleza kisa cha kuhama familia yake kwamba mke muongo muongo.
 
Wanaume wengi tumekua obsessed na aina moja ya tabia za wake zetu ambayo wengi hatuwezi kuvumilia, uzinzi au uzinifu, mara nyingi wanaumme hupima uamnifu wa wake zao kwa hilo la uzinzi, na kuja kusahau mama wa tabia zote mbaye huzaa
Ushatendwa!, Tafuta hela mkuu utanyenyekewa
 
Jirani yetu msabato hapa ametelekeza familia na kuanzisha mji mgine leo ni mepata nafasi ya kusemana nae leo kanieleza kisa cha kuhama familia yake kwamba mke muongo muongo.,,,,,,,mh msabato[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani yetu msabato hapa ametelekeza familia na kuanzisha mji mgine leo ni mepata nafasi ya kusemana nae leo kanieleza kisa cha kuhama familia yake kwamba mke muongo muongo.,,,,,,,mh msabato[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani msabato ana kasoro gani?
 
Nawashauri muoe mke siyo mwanamke maana kuna mke na mwanamke.
 
Hamna tabia siipendi kama uongo aise ni ngumu sana kuishi na mtu muongomuongo maana mara zote unashtuka ushapigwa kirungu! Atakwambia kazini leo hivi mara Leo nmetumwa na ofisi mjini ila natakiwa kurudi tena ofisini kumbe hataki tu kuwahi home!

Mara kuna mfanyakazi mwenzangu amesema ataniroga kisa nmekuwa karibu na bosi! Unabaki unaugulia tu kuna wakati unakuwa na dharula unahitaji msaada wake anaelekea kukusaidia unajipa matumaini mara anasema ameitwa kikao cha ghafla nae ndio katibu khaa
 
Hamna tabia siipendi kama uongo aise ni ngumu sana kuishi na mtu muongomuongo maana mara zote unashtuka ushapigwa kirungu! Atakwambia kazini leo hivi mara Leo nmetumwa na ofisi mjini ila natakiwa kurudi tena ofisini kumbe hataki tu kuwahi home! Mara kuna mfanyakazi mwenzangu amesema ataniroga kisa nmekuwa karibu na bosi! Unabaki unaugulia tu kuna wakati unakuwa na dharula unahitaji msaada wake anaelekea kukusaidia unajipa matumaini mara anasema ameitwa kikao cha ghafla nae ndio katibu khaa
Tatizo jamii zetu huona kama kusema uongo sio dhambi kumbwa katika dhambi au chagamoto za ndoa.
 
Back
Top Bottom