Kitendawili kilichonishinda!

Kitendawili kilichonishinda!

Upuuzi.. kumtunza ndio lkn sio kwa kila kitu, kumtunza pale ambapo yeye ameshindwa kabisa....

Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu

Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?

Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
 
Back
Top Bottom