Mapenzi ya siku hizi ni ya Nipe Nikupe!

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa hisia kali!

Aliendelea kuzungumza," hata utakapoamua kwenda kwake ataishia kukushawishi mfanye mapenzi ndipo akupatie hiyo pesa! Wanaume wamefanya wanawake tukariri kuwa kwa sasa hakuna mahusiano ya kimapenzi, kupendana kama ilivyokuwa zamani, badala yake tunafanya biashara ya ngono japo iliyostaarabika!"

Alitazama chini kwa muda wa nusu dakika kisha aliendelea kusema, "kwa sasa wanaume mmekuwa vitega uchumi vyetu! pale tutakapokuwa na shida na pesa, simu zitakuwa nyingi!

Na ndiyo maana baada ya tendo tutakaa mkao wa ngoja nione leo ntaondoka na kiasi gani! Wanaume wale wa nitumie pesa akakuuliza nikutumie kwa namba hii au, hawapo tena! Kama mtu ungelibahatisha mtu kama huyo, hata kama angelikuhitaji, ukaenda na asikupatie pesa siku hiyo, usingelahum, kwa sababu ni mtoaji! Mapenzi ya sasa hakuna kutongozana tena kwa maneno, bali pesa inaongea tu!

Wingi wa pesa ndio unaharakisha zoezi zima la kufanya mapenzi! Waoaji hawapo siku hizi, bali kuna wabebeshaji mimba! Hapo kuna mawili, mimba hiyo ailee ama aikimbie! Wanaume waaminifu wamekwisha, siku hizi hakuna ndoa, bali kuna njoo tuishi pamoja kwa muda!"

Alifuta machozi, akaendelea kusema,"Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja kwa sasa, hilo wanawake wote tunalitambua, lakini mada inakuja ni jinsi gani mwanaume huyo ana behave mbele yako? Mwanaume wa kibongo atakapopata hawala, ataanzisha dharau ndani ya nyumba! Ni bora mwanaume utafute michepuko mingi kadri uwezavyo, lakini heshima ndani ya nyumba iwemo! Itapendeza zaidi kama utaweka akili yako sawa kujua mimi ni nani na nina nafasi gani katika maisha yako"

Mazungumzo yake yalimalizikia pale huku yakisindikizwa na machozi yaliyoambatana na kwikwi! Ndipo nikachukua wasaa wa kutubu na kujutia makosa yangu pasi na kujibiwa neno lolote! Nikaishia kumkumbatia na kushtuka usingizini!
 
Kwa hiyo mapenzi ya kweli ni wanawake kupewa hela huku wao hawatoi thamani yoyote? Kwa maoni yangu, ili uhusiano uwe na maana, ni lazima kila upande uwe unatoa thamani fulani kwa upande mwingine, kwa hiyo kama wewe una uhusiano na mtu na hutoi thamani yoyote bali unadai tu, wewe ni famba na haki yako ni kupigwa matukio.
 
Duh!
 
Yaani wanawake wa siku hizi anagawa namba kila kukicha ili apige vizinga bila kujua aliowapa namba wanataka papuchi sasa yeye anadhani atakuwa anachangiwa tu hiyo haipo nakupa teni unanipa mzigo mambo ya kutaka niwe kaka yako peleka ujinga wako huko.
 
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa hisia kali!
Sasa analia nini, wakati anaomba hizo hela kwa mwanaume alifikiri anamuomba mjomba wake au baba yake? Mke wa mtu anamuomba hela mwanaume mwingine hivi anategemea nini? Mimi kama mwanaume ninawezaje kumpa hela mwanamke ambayeusiku analala.na mumewe? Matokeo yake ndo hayo nasi tunaanza kujenga hoja za njoo nyumbani uchukue.
 
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa hisia kali!
Mwezi mmoja kabla ya ramadhan niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja mdogomdogo tu! Bas nakumbuka alianza kuniomba 30 th nikampatia, kipindi inakaribia ramadhan nikaanza kuomba papuchi nipige, akaniambia atashindwa kufunga cos ramadhan ipo karibu hivo anaomba nimvumilie tu mpk ramadhan iishe!

Nikavuta wiki moja kabla ya Idd akaniomba tena 35th mi nikampa 30 huku akishukuri akiahidi bora ramadhan iishe maisha mengine yaendeleee, baada ya kuisha ramadhan tunekaa kama wiki nikaanza kuomba tena, akanijibu bado sana tusubir, nikamkumbushia ahadi zake yuko kimya, nikamuuliza inamaana jukumu la kusubr liwe kwangu tu mbona we unapokuwa na uhitaji wa mahitaji yako hukusubr?

Akaanza kuniambia eti amewah kuwa na mpenz mmoja na walikaa mwaka 1 mpk kuja kukutanane! Nikamuuliza namimi unatarajia nikae mwaka kusubr papuchi? Akajibu ndiyo ila atakama hautafika basi ukarubie nikapiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi mmoja kabla ya ramadhan niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja mdogomdogo tu! Bas nakumbuka alianza kuniomba 30 th nikampatia, kipindi inakaribia ramadhan nikaanza kuomba papuchi nipige, akaniambia atashindwa kufunga cos ramadhan ipo karibu hivo anaomba nimvumilie tu mpk ramadhan iishe!

Nikavuta wiki moja kabla ya Idd akaniomba tena 35th mi nikampa 30 huku akishukuri akiahidi bora ramadhan iishe maisha mengine yaendeleee, baada ya kuisha ramadhan tunekaa kama wiki nikaanza kuomba tena, akanijibu bado sana tusubir, nikamkumbushia ahadi zake yuko kimya, nikamuuliza inamaana jukumu la kusubr liwe kwangu tu mbona we unapokuwa na uhitaji wa mahitaji yako hukusubr? Akaanza kuniambia eti amewah kuwa na mpenz mmoja na walikaa mwaka 1 mpk kuja kukutanane! Nikamuuliza namimi unatarajia nikae mwaka kusubr papuchi? Akajibu ndiyo ila atakama hautafika basi ukarubie nikapiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni fara, usifikiri eti ukimpa kabla haujala mzigo ndio atakuona mstaarabu, ushaliwa 60,000 babu
 
Najua imeenda na kwa mwanaume iko kitu cha kawaida kabisa, hakuna kipindi kigumu kama sio kipindi cha mwanzo wa katika mahusiano! Kila mmoja anamvizia mwenzake aone yukoje na mwanamke anajisemea akiomba papuchi najua huyu anataka kupiga asepe na mwanaume anasema akitaka hela najua mpigaji! Mizan inakuwa hivo ila wanaume ndo huwa tunaingia risk tunajipa moyo ngoja nimsadie uenda naye akaonyesha userious, ila hapo itategemea na dem mwenyewe pia.
 
Hutaki kuliwa acha kuwa ombaomba, huyo mwanaume sio babaako wala kakaako, unamuomba pesa we ukiombwa unazo za kutoa? Hata kama unazo utatoa? We ukiacha mbususu yako una kitu gani kingine cha kutoa?

Acheni njaa madem wa kizazi hiki, yaan hamtaki kutafuta pesa ila mnategemea kugawa namba kwa wanaume ili muanze kupiga vizinga, mwanamke hutaki kutumika tawala tamaa zako, acha kuombaomba, kwani hamfundwi huko makwenu? We mwanaume hana uhusiano committed na wewe sasa unataka akupe pesa we utampa figo?

Zaidi ya kuliwa unadhani utatoa kitu gani? Wooiii tawaleni hisia na tamaa zenu au mtaendelea kuziniwa na wahunu mpaka mchakae.
Ndengelec
 
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa hisia kali!

Aliendelea kuzungumza," hata utakapoamua kwenda kwake ataishia kukushawishi mfanye mapenzi ndipo akupatie hiyo pesa! Wanaume wamefanya wanawake tukariri kuwa kwa sasa hakuna mahusiano ya kimapenzi, kupendana kama ilivyokuwa zamani, badala yake tunafanya biashara ya ngono japo iliyostaarabika!"

Alitazama chini kwa muda wa nusu dakika kisha aliendelea kusema, "kwa sasa wanaume mmekuwa vitega uchumi vyetu! pale tutakapokuwa na shida na pesa, simu zitakuwa nyingi!

Na ndiyo maana baada ya tendo tutakaa mkao wa ngoja nione leo ntaondoka na kiasi gani! Wanaume wale wa nitumie pesa akakuuliza nikutumie kwa namba hii au, hawapo tena! Kama mtu ungelibahatisha mtu kama huyo, hata kama angelikuhitaji, ukaenda na asikupatie pesa siku hiyo, usingelahum, kwa sababu ni mtoaji! Mapenzi ya sasa hakuna kutongozana tena kwa maneno, bali pesa inaongea tu!

Wingi wa pesa ndio unaharakisha zoezi zima la kufanya mapenzi! Waoaji hawapo siku hizi, bali kuna wabebeshaji mimba! Hapo kuna mawili, mimba hiyo ailee ama aikimbie! Wanaume waaminifu wamekwisha, siku hizi hakuna ndoa, bali kuna njoo tuishi pamoja kwa muda!"

Alifuta machozi, akaendelea kusema,"Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja kwa sasa, hilo wanawake wote tunalitambua, lakini mada inakuja ni jinsi gani mwanaume huyo ana behave mbele yako? Mwanaume wa kibongo atakapopata hawala, ataanzisha dharau ndani ya nyumba! Ni bora mwanaume utafute michepuko mingi kadri uwezavyo, lakini heshima ndani ya nyumba iwemo! Itapendeza zaidi kama utaweka akili yako sawa kujua mimi ni nani na nina nafasi gani katika maisha yako"

Mazungumzo yake yalimalizikia pale huku yakisindikizwa na machozi yaliyoambatana na kwikwi! Ndipo nikachukua wasaa wa kutubu na kujutia makosa yangu pasi na kujibiwa neno lolote! Nikaishia kumkumbatia na kushtuka usingizini!
Narudia tena usimuonee huruma mtu asiyejiulumia bali jitahidi tu usitumie kufeli kwake kama fimbo sasa ya kumuumiza
 
Back
Top Bottom