Dear men:
Chukua likizo yako ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo kuwa umefukuzwa kazi.
Muelezee zaidi kuwa kulikuwa na pesa zilizopotea ikabidi ulipe kwa pesa zako zote ulizo kuwa umetunza...
Wakuu kwema?
Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa.
Jamaa...
Out there wakuu,
Hivi kama mwanaume kipi bora, mwanamke apigwe mimba na jamaa huko halafu aje akubambakizie wewe au mimba yako, yani ni wewe umemjaza lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo...
Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi,
Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa...
Wanajamii, salaam!
Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri.
Mimi ni mwanaume,
-miaka 38
-rangi chocolate
-mkristu
Ninahitaji la...
Na ukiona unaeza mnyamazia mpenzi wako na asikulalamikie kwanini umemkalia kimya ujue ANAE MPENZI wake ambae SIO WEWE.
Kulalamika ni ishara ya kujali, kujali ni matokeo ya upendo, kama mwenzi...
Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara...
Miaka ya nyuma hapo nilikuwa na mwanamke mmoja kwenye mausiano uyo mwanamke alikuwa ananipenda saana
Lakini kwa upumbavu wangu sikujua thamani ya uyo mwanamke kwangu nikawa mtu ambaye na mtesa na...
Mshaurini huyu jamani...
MCHUMBA WANGU ANANISHIRIKISHA KATIKA KILA KITU CHA MAENDELEO ANACHOFANYA!
Mimi ni binti wa miaka 28, sijaolewa ila nina mchumba ambaye yeye ana miaka 30, nampenda sana...
Kuamini kwamba mapenzi yanawezekana bila kupigwa matukio, ni kama kuamini kwamba ukiwa mfanyabiashara hautokaa upate hasara hata kidogo....
Vijana mmekua mkitia sana huruma hapa JF, Mnajaribu...
Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.
Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na...
JE, UTAMJUAJE HUYO NDIYE MKEO?
MJUE MKEO.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Sasa nimejihangaisha na mambo haya, wala hakuna lolote nitakalo lipata, lakini nafsi yangu itafurahi ikiwa tuu nitaimaliza...
Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri...
Habari
Natafuta mchumba kisha awe mke,
Mi ni kijana nnaye karbia miaka 40,
Nna watoto wawili, kwa mama mmoja nliyeachana nae takriban mwaka na nusu toka sasa.
Nafanya kazi taasisi moja ya...
Huyu mother kashindwa kabisa kuvumilia mara baada ya mnyoano makini, mnyoano uliomtetemesha kama kapigwa na shoti ya umeme, akaniambia "endapo nisingeolewa basi ningeakikisha nakumiliki huwe wangu...
Habari za krisimasi wakuu,
Binafs sio nzuri, nmeianza na ajali ya mguu nikitokea kwa Mchepuko Wangu fundi cherehani chamazi asbh ya leo XMASS.
HEBU TURUDI KWENYE MADA
Aisee wakuu wahenga...
Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara.
Sifa zangu
Umri-37
Dini -Mkristu
Kaz-mfanyabiashara wa mazao
Kimo-mrefu...
Aisee!,Asikwmabie mtu kumbe wenye miko ya pilau ndani wanafaidi kuliko sisi wenye steki!.
Mwanzo nilikuwa nadhani ukiwa na nyama ya steki ndani utafaidi yale mafuta kumbe hakuna chochote...
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya...