TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,859
- 8,690
Aisee!,Asikwmabie mtu kumbe wenye miko ya pilau ndani wanafaidi kuliko sisi wenye steki!.
Mwanzo nilikuwa nadhani ukiwa na nyama ya steki ndani utafaidi yale mafuta kumbe hakuna chochote! Nimejaribu kuutumia mwiko wa pilau katika mapishi nimekuja kugundua nilikosa vinono.
Kuanzia leo mimi na miiko ya pilau ni damudamu, hizi nyama zenye mafuta mengi ni michosho sana, kumbe minyama yenye mafuta haiwezi kukaangika vizuri huwa ni tamaa tu ya yale mafuta!.