Kulalamika ni ishara ya Upendo

Kulalamika ni ishara ya Upendo

CAG wa buza

Member
Joined
Apr 2, 2023
Posts
13
Reaction score
32
Na ukiona unaeza mnyamazia mpenzi wako na asikulalamikie kwanini umemkalia kimya ujue ANAE MPENZI wake ambae SIO WEWE.

Kulalamika ni ishara ya kujali, kujali ni matokeo ya upendo, kama mwenzi wako anakulalamikia manake anajali kuhusu matendo yako na hiyo ni sababu ANAKUPENDA.
 
Hakuna kitu chenye nguvu katika mahusiano kama mwanaume kumnyima mwanamke attention, hii ni kipimo tosha kujua kama anakupenda au hakupendi.
 
Huu n unyanyasaji ila ukiona hivyo bora ujiengue tu maana mwenzio keshajiengua muuda
Women psychology inathamini sana mwanaume Bora, na mwanaume Bora hawezi kuwa all the time achati na wewe.
Hii method nimeitumia sana and it's more effective sana sana, na inamuepusha mwanaume na madanguro na pia inamuepusha mwanaume kupoteza muda na pesa.
Nilichokuja kugundua ni kwamba kumpa mwanamke attention is more harmful than good.
 
Huu n unyanyasaji ila ukiona hivyo bora ujiengue tu maana mwenzio keshajiengua muuda
Nimeitumia hii method Zaid ya miaka 2 na imefanikiwa, huwa naishiwa kuonwa na demu kuwa nina mademu wengi, huwa anadhani namcheat kumbe Wala sina sema mambo mengi ya kufanya.
Ila baadaye natoa attention ya maana then namute, Kuna muda ni Bora nim-sacrifice demu kuliko ndoto zangu.
 
Hapa JF tunaongea tu....ila huko duniani yanayotukuta [emoji23][emoji1544]
Bro mi ninejifunza kutokana na makosa so najitahidi kuishi ki-masculine, mademu huwa wanaaminishwa kumtafuta Mwanaume submissive ila nature iliyowekwa ndani ya DNA zao ni kwamba wanataka Mwanaume Bora aliyemzidi kwa Kila kitu, ndo maana mwanaume lazima usake mafanikio ya pesa na afya.
Ukitunza afya na ukala vyakula Bora, hutafeli 6 Kwa 6, ukipata mafanikio financially, inaboost MAHUSIANO ila kikubwa respect.
Siku ya kwanza tu ya dating unajua tu kama mwanamke anakufaa au hakufai kama ukiweka nyege pembeni.
Ukiona wewe KATIKA conversation zote we ndo unaanza kumpigia demu simu au kumtext, achana naye, hakupendi, toa attention.
 
Kuhusu suala la attention kuitoa, nimejaribu Kwa mademu tofauti nikagundua wanaumia sana usipowatafuta huwa Wana hisia una wanawake wengine.
Hili niliambiwa kabisa, na mawasiliano yakaendelea.
Remove attention, restore, remove it again, watakuheshimu sana maana watakuona mysterious na wanapenda sana watu mysterious ndo maana badboys wanafanikiwa kuongeza single mothers Kila mwezi
 
Sasa kila mtu akiwa hamtext mwenzake kwanza anaogopa kuonekana zoba, si italeta shida[emoji23]
 
Kuongeza single mothers kumbe ni mafanikio[emoji23][emoji1544]
 
Sasa kila mtu akiwa hamtext mwenzake kwanza anaogopa kuonekana zoba, si italeta shida[emoji23]
Hapana hili nimeshafanya, we jaribu kutoa attention, utapigiwa mpaka simu, pokea then mchombeze kuwa kama panya anayenata na kupuliza.
It works mkuu, wanawake ni walewale hakuna kilichobadiliika.
Focus kuwa mwanaume Bora zaidi.
 
Back
Top Bottom