Natafuta mchumba / Mke

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
107
Habari

Natafuta mchumba kisha awe mke,
Mi ni kijana nnaye karbia miaka 40,
Nna watoto wawili, kwa mama mmoja nliyeachana nae takriban mwaka na nusu toka sasa.

Nafanya kazi taasisi moja ya Serikali,

Naishi Dodoma kwa sasa baada Serikali kutuhamisha mwaka 2020.

DIni ni Muislam,

Mrefu kiasi,

Elimu ya masters,


Sifa za mwanamke,

Awe dini ya Kiislam, akiwa na hofu ya mungu itafaa zaidi,

Awe tayari kupima HIV na magonjwa mengne muhimu,

Umri kati ya 29 - 35,

Asiwe mnene sana,

Rangi yoyote, akiwa mweusi itakuwa nzuri zaid,

Awe anaingiza kipato, akiwa mwalimu itakuwa nzuri zaidi,

Awe tayari kuishi Dodoma,

Asiwe na Mtoto,

Awe na tabia za kike.

Mambo mengine ya msingi tutayaweka sawa kadri tutakavyokuwa pamoja.

Tafadhali, naomba kwa waliokuwa Serious tu,

Shukran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom