Je unaweza kukubali kurudiana na uyo mwanamke

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Miaka ya nyuma hapo nilikuwa na mwanamke mmoja kwenye mausiano uyo mwanamke alikuwa ananipenda saana
Lakini kwa upumbavu wangu sikujua thamani ya uyo mwanamke kwangu nikawa mtu ambaye na mtesa na post picha za wanawake wengine ili tu apate maumivu ya moyo lakini mwanamke uyo alinipenda na kuvumilia mabaya yote yangu
Lakini kuna siku alifika mwisho akachoka zake na kuachana na mimi
Baada ya kuachana ndo Nikaja kutambuwa thamani yake kwangu
Nikawa na fanya jitihada za kumrudisha ziligonga mwamba kabisa
Nilipambana kwa kipindi cha mwaka na nusu kumbembeleza huyu demu lakini ilishindikana
Nikaamua kupotezea tu
Baada ya kupita miaka miwili sasa toka niacha kumfatilia
Leo amekuja kunijibu kuwa yupo tayari kurudiana na mimi na kunishauri sijui hataki yale ya kale ya jirudie tena

Je wakubwa hapa kweli penzi lipo?
Na kama lipo je mwanamke ambaye uliwahi kumtesa na kuumiza moyo wake anachukuwa mda gani kusau mabaya ambayo uliwahi kumfanyia.?
 
Huko kwenye machaka yake alikokuwa anajificha,hujui nini kimetokea pengine kakutana na nyoka nawewe kama mwanaume onyesha thamani ata kama unamrudia usioneshe udhaifu wa mwanzo
 
Miaka ya nyuma hapo nilikuwa na mwanamke mmoja kwenye mausiano uyo mwanamke alikuwa ananipenda saana
Lakini kwa upumbavu wangu sikujua thamani ya uyo mwanamke kwangu nikawa mtu ambaye na mtesa na post picha za wanawake wengine ili tu apate maumivu ya moyo lakini mwanamke uyo alinipenda na kuvumilia mabaya yote yangu
Lakini kuna siku alifika mwisho akachoka zake na kuachana na mimi
Baada ya kuachana ndo Nikaja kutambuwa thamani yake kwangu
Nikawa na fanya jitihada za kumrudisha ziligonga mwamba kabisa
Nilipambana kwa kipindi cha mwaka na nusu kumbembeleza huyu demu lakini ilishindikana
Nikaamua kupotezea tu
Baada ya kupita miaka miwili sasa toka niacha kumfatilia
Leo amekuja kunijibu kuwa yupo tayari kurudiana na mimi na kunishauri sijui hataki yale ya kale ya jirudie tena

Je wakubwa hapa kweli penzi lipo?
Na kama lipo je mwanamke ambaye uliwahi kumtesa na kuumiza moyo wake anachukuwa mda gani kusau mabaya ambayo uliwahi kumfanyia.?
Mkirudianamtakua mnachakatana tu, ila penzi likivunjika kwa zaidi ya mwaka huwa halirudi kama mwanzo.

Sababu maudhi huwa yapo tu. Sasa kila ukikosa lazima apige kwenye mshono 'ndio maana nilikuacha' huwezi kuwa na raha tena
 
Umofia kwenu wana JF...Pasaka njema kwenu,ndugu yangu usije narudia tena kumrudia mwanamke aliyekuacha ama uliyemuacha na akaendelea na maisha mengine,kwani hawi mwanamke yule yule uliyemfahamu hapo awali_hata hivyo huyo amerudi kwa sababu ameshindwa kupata replacement yako!!!!
 
Miaka ya nyuma hapo nilikuwa na mwanamke mmoja kwenye mausiano uyo mwanamke alikuwa ananipenda saana
Lakini kwa upumbavu wangu sikujua thamani ya uyo mwanamke kwangu nikawa mtu ambaye na mtesa na post picha za wanawake wengine ili tu apate maumivu ya moyo lakini mwanamke uyo alinipenda na kuvumilia mabaya yote yangu
Lakini kuna siku alifika mwisho akachoka zake na kuachana na mimi
Baada ya kuachana ndo Nikaja kutambuwa thamani yake kwangu
Nikawa na fanya jitihada za kumrudisha ziligonga mwamba kabisa
Nilipambana kwa kipindi cha mwaka na nusu kumbembeleza huyu demu lakini ilishindikana
Nikaamua kupotezea tu
Baada ya kupita miaka miwili sasa toka niacha kumfatilia
Leo amekuja kunijibu kuwa yupo tayari kurudiana na mimi na kunishauri sijui hataki yale ya kale ya jirudie tena

Je wakubwa hapa kweli penzi lipo?
Na kama lipo je mwanamke ambaye uliwahi kumtesa na kuumiza moyo wake anachukuwa mda gani kusau mabaya ambayo uliwahi kumfanyia.?
Kisasi kinakuja
 
Back
Top Bottom