Ushauri kwa wanaJF mnaolilia mapenzi.....

Ushauri kwa wanaJF mnaolilia mapenzi.....

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
25,063
Reaction score
82,016
Kuamini kwamba mapenzi yanawezekana bila kupigwa matukio, ni kama kuamini kwamba ukiwa mfanyabiashara hautokaa upate hasara hata kidogo....

Vijana mmekua mkitia sana huruma hapa JF, Mnajaribu kutafuta formula za mapenzi....kitu ambacho hakipo.

USHAURI WANGU

Kwakua maumivu hayaepukiki kama tulivojifunza hapo juu, suluhisho ni rahisi mno. Ukiingia kwenye mahusiano, timiza wajibu wako kama ke au me, ukiona mwenzako analeta matatizo kiasi cha kutovumilika, ACHANA NAE. Hakuna namna nyingine......
 
Kiukweli mpenzi wako unaeshare nae via vya uzazi sio lazima awe rafiki yako wa karibu japo inapendeza kwasababu wengi wameoa watu wanaofanana kiuchumi,kabila na historia nk lakini hawajashibana nafsini ( intimate) kitu kinachopelekea hata wakipeana via vya uzazi bado haitoshi kumake sense that is why wanapigana matukio kila siku
 
Ni ukweli imani ndio kila kitu lakini tuache kuingia kwenye mahusiano na watu kwasababu ya vitu au muonekano mtu akikukubali moyoni mwake atakuwa kama mtakavyotaka pamoja muwe easy
 
Back
Top Bottom