Kwa aina hii ya ndoa za kisasa ambazo hazina vetting ya kutosha kupata mwenza bora ni turufu.. Yaani ni sawa na kubet kisha upatie
Kwa kasi hii ya talaka.. Rejea ripoti ya RITA ni wazi ndoa hizi...
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na...
Wakuu.
Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Mimi nilipoanza first...
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu...
Wanajukwaa,
Njooni tusaidiane mawazo kidogo.. I feel lost…seriously.
Nasumbuliwa na upweke yaani Hali ya kujisikia kuwa na mtu ambaye atakuwa ni mwelewa niwe huru kufunguka kwake na yeye awe...
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .
Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au...
Bila kuchoshana huwa napenda, Utani, masihara na kupima uelewa wa watu kwa undani zaidi.
JF Haina freedom of speech tunaongopeana tu...Maana nilipost Uzi hapa unaitwa KIVURUGE, hauna luga' isyo na...
Wakuu hivi hizi tabia za kiburi, jeuri kununa, ubishi wa hawa wanawake wanatoa wapi? Licha ya kuomba, hekima natumia lakini bado, saiv nishatimua kitambo lakini nimekausha namvutia subira. Au mi...
Moja kwa moja kwenye mada, ni jambo la kuzungumza tu pasi mihemko maana yaweza mkuta Mwamba mwenzetu yoyote siku moja kwetu sisi WANAUME. ktk eneo la makazi tunapoishi tunashuhudia...
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe.
Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’.
Hata kama...
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya...
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia.
Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote...
Hello JF,
nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara,
Popote mlipo wenye...
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza...
NILIOA MWANAMKE KUMBE JINI - 2
Mikasa ya kusisimus
Kuanzia muda huo, tulianza kuongea mambo mengi, kwanza nilimfahamisha Sakina maisha yangu kuwa sijawahi kuoa na nimekuwa nikitafuta mwanamke...
Nina miaka 20 but sijawahi kufanya mapenzi because huwa nawaogopa sana wanawake tangu nipo form one mpaka sasa.
Je, siwezi kupata madhara, na je umri gani kwa mtoto wa kiume unafaa kufanya...
Waslaam wakuu!
Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja.
Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa...
Imagine nipo single tangu 2020 lakini mbususu nazikung'uta mpaka nakinai na sio zile za kununua vichochoroni, sijawahi na sitawahi kununua malaya. Natafuna mbususu zinazoeleweka tena sio girls ni...
Huu ni utafiti wangu wa muda mrefu. Wanawake wenye sura mbaya wanapenda sana kutumia kingereza kwenye mijadala hasa hawa wanawake wenye sura mbaya alafu wasomi.
Nenda kula Twitter, Instagram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.