kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Wakuu hivi hizi tabia za kiburi, jeuri kununa, ubishi wa hawa wanawake wanatoa wapi? Licha ya kuomba, hekima natumia lakini bado, saiv nishatimua kitambo lakini nimekausha namvutia subira. Au mi gem langu lipo nje ya ndoa? Ubachela nao sio aisee.