WADADA WA MJINI SINGLE MOTHER NI HATARI

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,426
Moja kwa moja kwenye mada, ni jambo la kuzungumza tu pasi mihemko maana yaweza mkuta Mwamba mwenzetu yoyote siku moja kwetu sisi WANAUME. ktk eneo la makazi tunapoishi tunashuhudia yafuatayo

1. Jamaa kakutana na mdada ktk nyumba ya kupanga, kisha wakaanzisha mahusiano japo awali huyo dada alikua akinata sana dhidi huyu Mwamba, lakini ghafla kaingia na mapenzi yakaanza.

2. Tulikua tukiona huyu Binti akiingiza wanaume tofauti tofauti room kwake ktk siku za nyuma kidogo tu na huyo jamaa anajua hilo, lakini nadhani jamaa akapiga moyo konde kwa sababu anampenda maana mapenzi ni kuwekana sawa na watu wanaweza kuishi maana binadamu hubadilika

3. Wakiwa ktk mahusiano ni mwezi tu tunahisi jamaa anaghalamia chakula na mambo kadhaa kwa huyu binti, lakini Binti ni mtu wa club sana na mapombe, muonekano wake ukimtazama Kwa macho haufanani na mambo hayo , lakini tunahisi sometimes wanagombana sana maana mshikaji ni mtutulivu kama mwanaume na anafanya kazi za shirika nzuri tu kiasi tunaona hana shida sana za kusema hawezi kwenda akafanye starehe, lakini ni mtu anayeingia ndani mapema sana na anapaki kigari chake kidogo na anazama ndani analala zake,kwa sasa wako na Ile pika upakue tule, lakini mshikaji anaweza kuona tu mwanamke hayupo na anarudi usiku wa manane sana, wakati mwingine tunasikia kama kelele fulani, mala kadhaa mwanamke anatoka anaenda kwa mabasha wengine na kunywa mapombe huko na anarudi saa saba mpaka saa nane za usiku maana akifungua geti hua tunasikia, na jamaa yake anakuwepo ndani kalala zake

5. Mshikaji nadhani ni mvumilivu sana, mwanamke akifanya hivyo hua tunajua hawa wataamka wameachana, Cha ajabu wanaamka kufata chakula sokoni waje wapike, baadhi ya wanawake washikaji zake na huyu dada wanamponda sana mwenzao wakisema anadhani mume sijui hua anapatikanaje, maana ni kama anamchezea akili mshikaji, wanaamini mshikaji atajitoa siku si nyingi.

Hatujui wadada wa MJINI hua wanatafuta nini, ni kama hawaeleweki, mtu yupo town, hajulikani anafanya kazi gani, anapata mwanaume anamhudumia halidhiki, ni mtu wa tamaa, na alisha zalishwa na mtu ambaye haishi nae, wanawake mna nini????
 
cb3bd440-9e51-440f-a39f-d2666bcbb7e6.jpg

Ndyo wanatuweka mjini hao mkuu wakaushie tu
 
Yaani umeweka na namba 1-5 kabisa maisha ya watu... mkuu mapenzi hayaingiliwi wala kushauriwa achia mbali kufwatilia hujui ndani wanaishije fwata yako
 
Moja kwa moja kwenye mada

1. Jamaa kakutana na mdada ktk nyumba ya kupanga, kisha wakaanzisha mahusiano japo awali huyo dada alikua akinata sana dhidi huyu Mwamba, lakini ghafla kaingia na mapenzi yakaanza.

2. Tulikua tukiona huyu Binti akiingiza wanaume tofauti tofauti room kwake ktk siku za nyuma kidogo tu na huyo jamaa anajua hilo, lakini nadhani jamaa akapiga moyo konde kwa sababu anampenda maana mapenzi ni kuwekana sawa na watu wanaweza kuishi maana binadamu hubadilika

3. Wakiwa ktk mahusiano ni mwezi tu tunahisi jamaa anaghalamia chakula na mambo kadhaa kwa huyu binti, lakini Binti ni mtu wa club sana na mapombe, muonekano wake ukimtazama Kwa macho haufanani na mambo hayo , lakini tunahisi sometimes wanagombana sana maana mshikaji ni mtutulivu kama mwanaume na anafanya kazi za shirika nzuri tu kiasi tunaona hana shida sana za kusema hawezi kwenda akafanye starehe, lakini ni mtu anayeingia ndani mapema sana na anapaki kigari chake kidogo na anazama ndani analala zake,kwa sasa wako na Ile pika upakue tule, lakini mshikaji anaweza kuona tu mwanamke hayupo na anarudi usiku wa manane sana, wakati mwingine tunasikia kama kelele fulani, mala kadhaa mwanamke anatoka anaenda kwa mabasha wengine na kunywa mapombe huko na anarudi saa saba mpaka saa nane za usiku maana akifungua geti hua tunasikia, na jamaa yake anakuwepo ndani kalala zake

5. Mshikaji nadhani ni mvumilivu sana, mwanamke akifanya hivyo hua tunajua hawa wataamka wameachana, Cha ajabu wanaamka kufata chakula sokoni waje wapike, baadhi ya wanawake washikaji zake na huyu dada wanamponda sana mwenzao wakisema anadhani mume sijui hua anapatikanaje, maana ni kama anamchezea akili mshikaji, wanaamini mshikaji atajitoa siku si nyingi.

Hatujui wadada wa MJINI hua wanatafuta nini, ni kama hawaeleweki, mtu yupo town, hajulikani anafanya kazi gani, anapata mwanaume anamhudumia halidhiki, ni mtu wa tamaa, na alisha zalishwa na mtu ambaye haishi nae, wanawake mna nini????
Huyo mwanaume ni hamnazo!
 
Kipo cha ziada kwa uyo single mama kinachomtuliza jamaa afu bad enough jamaa kagundua ni kuwa kinapatika kwa uyo single mama tuuu na si kwa wanawake wengine

Ko waache fanya mambo yako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona mna matatizo sana, a dada zetu walio na watoto🤔🤔
👉Je hawastahili kupendwa na kuheshimiwa tena ??
👉Mbona mna wadhihaki kupita kiasi??, Kama vile hamtokuja kupata mabinti pia🤔🤔
,👉Je katika hao Wanawake wenye watoto, je hakuna mwanaume Kati yetu. - aliye mkosaji🤔🙉
👉Kuna Wanawake wengine wamekuwa single, ili kuondokana na tabu na masimango jamani.

👉 I love and respect them a lot🙏💪
👉 I mean no malice to nobody
 
Mkuu mbona mna matatizo sana, a dada zetu walio na watoto
Je hawastahili kupendwa na kuheshimiwa tena ??
Mbona mna wadhihaki kupita kiasi??, Kama vile hamtokuja kupata mabinti pia
,Je katika hao Wanawake wenye watoto, je hakuna mwanaume Kati yetu. - aliye mkosaji
Kuna Wanawake wengine wamekuwa single, ili kuondokana na tabu na masimango jamani.

I love and respect them a lot
I mean no malice to nobody
Yamkini hujanielewa vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom