No Real Freedom of speech

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
321
500
Bila kuchoshana huwa napenda, Utani, masihara na kupima uelewa wa watu kwa undani zaidi.
JF Haina freedom of speech tunaongopeana tu...Maana nilipost Uzi hapa unaitwa KIVURUGE, hauna luga' isyo na staha, haitafuti mchumba kweli' Ila wakaondoa hataka haraka.
Hamna Neno hata moja lislo na staha Basi tu kumbe wanafuta jumbe na kuzisoma? Hakuna freedom of speech...
Yale yalikuwa mawazo ya Utani tuu'!!
 
Hata wao wameifuta kama utani tu, watairudisty
Niliskia kuwa wapo fair Sana in Noo huzi umewekwa uzi hapo' kiongozi chui kafumaniwa na code zake zinawekwa Ila
Mambo ya masihara na utani wanakimbilia kufuta Wala cjamtaja mtu, Wala code Ni just jokes...za kutafuta mpenzia asiwe mshamba Ambaye hajawahi kupanda hata ndege kuona hivyo ....vutaa!
 
Sasa wakufuta nyuzi wao wale wapi na ndio kazi inayowaweka mjini
 
Wakafute Ile ya yule aliyesema naibu waziri amepata ajali kisa fumanizi ...Kwanza Inadhalilisha Serekali waanze na hizo Kwanza Ila utani utani usio mtaja mtu Wala haumlengi mtu flan directly or indirectly Ni general tu
Sasa wakufuta nyuzi wao wale wapi na ndio kazi inayowaweka mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom