Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?
Nlimuuliza amewahi date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa...
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat...
Habari,
Mimi ni mama wa watoto wawili nahitaji mwenza;
~ Umri miaka 28
~ Makazi dar
~ Watoto wawili baba yao mmoja
~ Mwembamba
~ Mweupe
~ Urefu wastani
~ Dini mkristo
Ninaye muhitaji;
~ Umri...
Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi...
Hi JF!
Looking for my beloved friend by the name Alphoncine. Mara ya mwisho tuliachana chuoni Morogoro yeye alihama chuo kingine katika mazingira ya kushtukiza mimi nikiwa sipo chuoni nilipata...
Natamani kumpata mume Mwenye hofu ya Mungu akiwa mkathoric itapendeza umri wangu ni miaka 28 Nina watoto wawili single mom anipende na watoto wangu awe baba awe mtafutaji ambaye yuko interested...
Za wakati huu wana GT, naamini kama ilivyokawaida yetu kwa vile leo mkuu alivyowatunuku vyeti hao waliofanikisha zoezi la kupata japo 300m USD, kwani hata hizo hatukuwa nazo na akaendelea...
Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza...
Habar wana JF,
Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu.
Wakuu nina hali ambayo nahisi sio...
MWANAMKE MNYENYEKEVU Vs MWANAMKE MTUMWA
Anaandika, Robert Heriel
Mume.
Wanaume wote Duniani wanapenda Mwanamke mnyenyekevu, lakini wapo wanaochanganya unyenyekevu na Utumwa. Kwa kweli wengi...
Naitwa Mussa na naomba ushauri wenu.
Mimi ni kijana wa miaka 26 kuna mwanamke mjane na ana watoto wa 4 maana aliwahi kuolewa ila mimi sijawahi kuoa bado na amekuwa akinisaidia na kunipiga taf...
Ndoa nyingi zina matatizo, ili muishi vizuri kwenye ndoa mzingatie haya:
1. Nyie ni watu wazima ambao mmekutana na mmekubaliana kuanzisha familia.
2. Mwanzoni kabisa mkutane na kutengeneza...
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui...
I have got myself into a very complicated situation, which I’m finding very hard to get out of.
Ni hivi wife kanifuma nimo kwenye magroup ya Malaya wanaojiuza Telegram na tuna ugomvi mkubwa sana...
Mwanamke kuwa na kazi ni sawa.
Japo zama zimebadilika, ila kiasili mwanamke anaweka mahusiano kama namba moja alafu ndo vitu vingine.
Lakini mwanamke anayeweka kazi yake namba 1 huwa inaleta...
Leo nataka kuongea na wanawake wote popote mlipo. Kwa nini siku zote ktk mahusiano au ndoa lawama ni kwa wanaume tu?
Wanawake wote wanaolalamika juu ya wanaume eti ni mbwa, hawaridhiki hata...
Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi.
Ndio, ni kweli...
Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za hivi,tena wanawake wengi hukimbia na mali za waume zao kwenda kujichimbia nazo kwa hawara yake au mabuzi yake.
Sasa najiuliza kwa nini wanakuwa na akili nyepesi...
Sina nia mbaya ya kudharirisha zaidi ya kuonya na kusahihisha.
Leo nawambia nyie wamama na wadada wanene muweni wastaarabu na mikalio yenu.Binafsi mnanijera sana tuwapo kwenye usafiri wetu wa...
Nimempenda Glady na siwezi kuwa nae. Baada ya mda mrefu sikuwahi kujua kuwa nitapenda namna hii dah! kazi sana .
Leo nadhani Glady anaondoka kurejea mwanza nami nitaenda dar anyway ndio maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.