mzee wa nguna
Senior Member
- Dec 5, 2012
- 138
- 139
Wanajukwaa,
Njooni tusaidiane mawazo kidogo.. I feel lost…seriously.
Nasumbuliwa na upweke yaani Hali ya kujisikia kuwa na mtu ambaye atakuwa ni mwelewa niwe huru kufunguka kwake na yeye awe muwazi. Kwa kifupi Nina hamu ya Ushirika halisi na mwanadamu wa kiume japo sijui ntafanikisha vipi kukutana na mtu wa viwango hivi.
Mahusiano ya kisasa mengi hayakidhi matarajio, wahusika wanaishi kinafiki kwa kuviziana. Matokeo yake, kwa mtu anayejitambua inakuwa ni usumbufu na kutoridhika.
Angalizo:
Nahitaji Mawazo yako tu ya namna ya Kufanya ili kumtambua na hatimaye kukutana na aina hii ya mwanadamu ukizingatia kwamba Mimi ni ke wa makamo.
Mimi ni mtu mwenye shughuli nyingi za uzalishaji hivyo Sina idle time muda mwingi nakutana na watu