cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,389
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .
Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa
Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa
Wanaume tulieni na semeni ukweli