Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi inapotokea wanandoa mmegombana na mwanamke akahama chumba akawa analala na watoto hataki kurudi kila ukimbembeleza. Rafiki yangu kaniomba ushauri nimsaidie njia ya kufanya nikaona nije...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Nipo Dar kimakazi na umri wangu miaka 54. Nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa kimaisha na awe mkweli na mwaminifu, umri usiozidi miaka 50. Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0784371889...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Karibuni kwa siku kuu ndugu zangu.. Wanawake wanao wajibu wanaume vibaya pindi wanapo tongozwa mwisho wao huwa mbaya sana na wengine wanaishilia kuwa single mama. Amini na waambieni Unakuta...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy alimbaka msichana mmoja kisha akamwambia "ni sawa, nimefanya ngono na wanawake 10,000", mahakama imeambiwa. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28...
2 Reactions
3 Replies
938 Views
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada... Baada ya kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na wanawake tofauti tofauti sasa naamua kuoa nitulie zangu nikiusubiri uzee hapo baadaye, lakini inapokuja swala la...
2 Reactions
122 Replies
6K Views
Huwa unamchukuliaje mpenzi wako anapokuambia tutasex baada ya kufunga ndoa/kuoana? Hivi jambo hilo lina faida yoyote? Jamaa yangu ananilalamika kila siku anadai mpenzi wake anakataa kutoa mali...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu habari, Kwenye kukua kwangu nmekutana na baadhi ya vitu ambavyo ni 'unique' (upekee) tofauti na ilivyozoeleka. Kuna hili la baadhi ya wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono (Ring...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Ndugu habari Direct kwenye mada, ndugu zangu kuna kijana naishi naye karibu sasa ni mwaka mmoja. Ilikuwa hivi nilipohamia huku vijijini baada ya kuletwa huku kutokana na makosa ya ulevi...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
NALIA NGWENA huwa nachoshwa sana na hii kauli ya kwenda kufikiria na unakuta kipindi anakufikiria vocha, bills za umeme na mengineyo anakupiga vizinga. Kama mna kwenda kufikiria kwa Nini mnaomba...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Hii tabia ya mume na mke kuishi chumba kimoja inachangia sana migogoro kwenye ndoa. Kujambiana 24/7/52 sio mchezo. Ndo maana michepuko mapenzi yanakuwa matamu. Kutokana na uzoefu kama Mungu...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuandika ujumbe ndefu si kawaida yangu kwa huyu mtarajiwa wangu. vijana haya mambo si ya kupuuza hata kama unaongea nae kila siku lakini jumbe kama hizi anakuwa nazo na atarudia kusoma mara kwa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi. Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya...
33 Reactions
134 Replies
13K Views
Kuna Mambo mengi ambayo wanawake hufanya, kupendeza wachumba /wapenzi wao ili kupendwa zaidi. Baadhi yao hata hupotezwa na mapenzi wanapotia juhudi ili kuhakikisha kuwa amekaa. Lakini sio lazima...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo? Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa...
0 Reactions
10 Replies
996 Views
Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama...
21 Reactions
136 Replies
11K Views
Heri ya sikukuu tukufu ya Eid el Fitr dugu zetu Waislamu. Salamu pia WanaJF wengine wote. Asububi hii nimeamua niamke na hivi vibinti na akina dada wa hapa Dar es Salaam. Jueni kwamba sisi...
11 Reactions
74 Replies
6K Views
Back
Top Bottom