Maisha ya ndoa na migogoro ya mke na mume

Maisha ya ndoa na migogoro ya mke na mume

Wamegombana baada ya kukuta sms kwenye simu na mwanamke mwingine
Tungeona hiyo sms inasemaje ndo tungejua cha kushauri.

Sms inayosema "Aziza asante kwa show ya jana mpenzi" si sawa na inayosema

"Mwanangu mdogo akifikisha miaka mitatu tu namrudisha mama ake kwao kisha nakuoa wewe Aziza mwanamke wa ndoto zangu".
 
Hapa jamvini ni kama FB tu we limwage umwagiwe............
Anyway asubiri mpaka waje wapigie show apo kwake
 
Mwambie asimzingatie. Aendelee na mambo mengine. Ikiwezekana aanze kuchelewa kurudi kama alikuwa anawahi nyumbani.
Asimbembeleze ndio ataharibu kabisa.
 
Hivi inapotokea wanandoa mmegombana na mwanamke akahama chumba akawa analala na watoto hataki kurudi kila ukimbembeleza.

Rafiki yangu kaniomba ushauri nimsaidie njia ya kufanya nikaona nije kupata mawazo kutoka hapa jamvini

Sasa kama analala kwa watoto mwache alale tu ,wewe ukishikwa na UPWIRU tafuta DUDU lolote la kupiga Mikasi.
 
Back
Top Bottom