Nahitaji mwanamke wa kuishi naye

Kuna vitoto having adabu, vitakuja na kejeli zao hapa.
Rai yangu wana JF, kama huna mchango chanya, basi upite kimya kimya
Nipo Dar kimakazi na umri wangu miaka 54 nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa kimaisha na awe mkweli na muaminifu ma umri usiozidi miaka 50
Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0784371889 na nitafurahi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom