Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi na ninyi wanawake mnaweza ona mwanaume na kusema damn this man is OUT OF MY LEAGUE!? Yaani kwamba hata ufanyeje huwezi kuwa naye?
2 Reactions
14 Replies
820 Views
Ndoa Ina gharama yake kabla ya kuwa ndoa wanawake wengi hawalipi hio gharama at first baadae wanapostuka wanataka kufanya janjajanja wanaishia kupigwa tu na wengine kuishia kuwa single mother...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea...
21 Reactions
115 Replies
8K Views
Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake ) amefuma meseji zake akimpiga...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana. Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Nipo hapa kwa mchepuko wangu, ameniomba angalau nije nile pilau la sikukuu hapa nyumbani kwake. Baada ya kufika hapa kwake, amenipokea kwa bashasha sana; baada ya kufika mlangoni tu...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, Nina jambo linalonisumbua kwa muda mrefu sana, kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani. Mimi nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye...
24 Reactions
107 Replies
6K Views
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi? Ama kweli, pisi kali...
26 Reactions
242 Replies
10K Views
Wanajamii tuelekezane mbinu za kivita za kumpata Mrembo, mzuri wa sura mpaka shepu unaweza fikiri amechorwa. Tunampata vipi ikiwa yeye hakutaki na hataki hata kuona meseji zako Tufanye huna pesa
14 Reactions
139 Replies
11K Views
imeandikwa na Luqman Maloto Source: Facebook page ya Luqman Maloto KIFO cha Dk John Magufuli na kuingia madarakani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Karma au Fate? Nimeanza na swali. Karma tafsiri...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Jana usiku wa saa 4 nipo zangu mezani nakula akaja mkewangu ananiomba namba ya mpangaji wetu kijana wa makamo ambaye kiumri tunaelekea kulingana na kazi yake ni udereva wa bajaj, nikamuuliza namba...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
16 Reactions
223 Replies
10K Views
Yaani ni hivi ngumi au kofi la mkono wangu sitaki vimguse sababu hataweza kuhimili, Story iko hivi jana asubuhi nimefika nyumbani baada ya kutoka ofisini ninapo lalaga kwa ajili ya usalama wa...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
Hapa MMU naona kuna wadau hasa wanaume wenzetu wanajifanya wajuaji sana kuhusu maisha, watoto, mapenzi na ndoa. Wengi wameenda mbali na kusema eti bora kuwa na watoto kutoka kwa mama tofauti...
23 Reactions
54 Replies
5K Views
Kwenu mashemeji... Hadi sasa hajatokea bado mtu wa kuivunja rekodi ya mashemeji kwa upambe, mashemeji ni wapambe sana yani ni wapambe nuksi. Halafu tabia zao zinavyofanana unaweza kudhani...
26 Reactions
95 Replies
11K Views
Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu...
16 Reactions
106 Replies
7K Views
Wanaume wenzangu hii code nawapa utakuja kunishukuru siku nyingine. Jaribu kuishi mbali na ukweni kupunguza mambo madogo madogo yasiyokuwa ya msingi. Sent from my SM-A025U using JamiiForums...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom