Kwenu ma legendary wenzangu wazee wa uchakataji , wazee wa kula mbususu zilizo jaa na mnato ...ya pisi kali zilizo panda hewani zenye tako.
Ni hivi Mwenyezi Mungu alitupendelea sana wanaume ...
Katika maisha hakuna kitu ambacho uwa kinaleta mshtuko kwa sisi mabaharia kama kutongozwa na demu mkali ambae na wewe ulikuwa unajiandaa kumtokea live, ilikuwa jumapili moja nipo zangu mtandao...
Basi ashampoo sasa hivi si nimerudi mjini kuna pisi nimekutana nayo tiktok shape kali sana tukachat kama week mbili hivi ikanielewa mimi mzee wa mashape ndo ugonjwa wangu.
Pisi ilikuwa...
Poleni kwa Majukum ya siku nzima, naomba mwenye Uzoefu na hichi kitu anisaidie;
Niko kwenye mahusiano ni binti mmoja nilikutana nae faragha wiki mbili zilizopita juzi nowadays anajiskia uchovu...
Nilikuwa naangalia wazazi majirani zangu kwenye mitaa ambayo nimekulia tangu utotoni kama sample space(jaribu na wewe). Nimegundua Kwa asilimia 99% wote bado wapo pamoja. Ndoa zao zimedumu kipindi...
Wakuu nawaamkua.
Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado...
Nimefikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili kwakuwa mimi ni muislamu na dini inaruhusu, hivyo naomba kwa yeyote aliye tayari ani PM tuwasiliane.
Mie ni mtumishi serikalini ningependa mwanamke awe...
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba...
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.
Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila...
Nipo tayari hata kuambiwa kuwa haya ni maneno ya mkosaji. Hali tuliyofikia, inachekesha sana aisee. Wanaume, wanaume, wanaume... Tupunguzeni kujishusha
Yaani unakuta mwanaume anajitutumua kurusha...
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums leo nimeamua kwa dhati nije humu kutafuta mchumba.
Mimi ni muislamu ninamiaka 24 nakaribia kumaliza elimu yangu ya degree mwezi huu pia...
NATAFUTA MKE WA KUOA.
Jina Flavian.
umri 34.
Dini Mkristu.
Kazi N/jiajiri.
Kimo 5.3"ft.
Uzito 66kg
SIFA ZA MWANAMKE ANATAKIWA KUA.
Umri 28-35
Dini Mkristu
Kimo 5"ft...
Mimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo.
Mtu hustler kama mimi mwanamke ambae atanifaa kwa future yaani ntakae kuja kumuoa, awe...
Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi.
Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa...
Habari ya mda huu!!
Nina swali la kuhusu mahusiano
kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
Wiki iliyopita nilienda kiwanja fulani angalau kupata moja baridi kidogo, ili kuondoa misongo ya mawazo katika utafutaji.
Baada ya kupata huduma, nikasema sasa ni muda muafaka wa kwenda...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji mwanamke wa kuoa, aliye tayari nifuate PM.
SIFA:
~ Umri 18-24
~ Elimu kuanzia la saba nakuendelea
~ Awe tayari kutafuta maisha yenye mafanikio
~ HESHIMA na UTII
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.