Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga.
Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe...
Natumai mu wazima
Nimesafiri tangu saa 8 ya leo mchana namuda huu nipo Ujerumani,lengo ni kwenda kujifunza Ilmu mpya na maarifa mapya...
Tumeimizwa tusiiacha ilmu iende zake.. hivyo nipo German...
Habari
Manzi hakuna anacho offer kwenye hili penzi zaidi ya mbususu. Kiufupi hana mchango wowote, kila kitu nakamilisha mwenyewe na ninamkamilishia ya kwake.
Sasa siku za hivi karibuni kaanza...
Wengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote..
Kuna waliobarikiwa elimu lakini uchumi mbovu... Familia nzima imejaa wasomi tena wa kaliba mbalimbali lakini maisha yao...
Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu...
Ukiona mtu yuko kwenye ndoa miaka zaidi ya mitatu basi..
Itoshe tuu kusema ndoa inahitaji uvumilivu
Ndoa ikikosa uvumilivu ni kama vile mikono na miguu kwenye gari vishindwe kuelewana, mikono...
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa...
Mademu wengi nakutana nao wananing'ang'aniza nimwagie ndani. Wanapenda sana. Nadhani kuna raha wanapata... Ila sasa nawaambia mapema kabisa. Habari za kusema. "nina mimba yako" nitakuambia iwache...
Vijana wengi kwa sasa mtizamo wao ni kwamba kuoa ni mpaka 30 yrs huko, hapa katikati ni katika kutafuta pesa za kuja kutumia na huyo mke utayemuoa at 30. Tupo sahihi kweli? Na wakati huo unayemuoa...
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.
Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi...
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je, nini...
Hate That I Love You"
Yeah, yeah
Yeah, yeah
That's how much I love you (Yeah)
That's how much I need you (Yeah, yeah, yeah)
And I can't stand you
Must everything you do make me wanna smile
Can I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.